Recent content by blogger94

  1. B

    Habari gani uliiona kubwa kwa mwaka 2013? (Kimataifa)

    Habari namba 4 Kifo cha aliyekuwa Rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela kwa sababu aliwasamehe Makaburu na hakuwa na uchu wa madaraka kama viongozi wengine. NAIPENDEKEZA KUWA HABARI KUU KWA MWAKA HUU KWANI VYOMBO VYA HABARI TV, RADIO, MAGAZETI, MITANDAO, BLOGS N.K. VILIELEKEZA...
  2. B

    Mwalimu kamuagiza mwanafunzi stick

    Kilaza mama ako mzazi Gonzaga Ngonyani
  3. B

    Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?

    Huyu huyu Diamond tena kuna tetesi kammwaga Kidoti na ana du mpya mtangazaji jna limentoka na ktuo anachofanyia kazi....
  4. B

    Furahi na mwisho uchangie maoni yako.

    Ha ha ha h poa poa Mzinga
  5. B

    Mwalimu kamuagiza mwanafunzi stick

    Mwalimu mmoja wa shule zetu kama nilizosoma mimi shule za msingi yani alimuagiza mwanafunzi wake akichanganya lugha ya kiswahili na kiingereza...... MWALIMU; we Evarist nifatie stick nimtandike huyu John MWANAFUNZI: mwalimu sasa hapa ni mbali na dukani ntazipata wapi hata hela hujanipa...
  6. B

    Furahi na mwisho uchangie maoni yako.

    Jamaa fulani alirudi nyumbani kwa huzuni mazungumzo yao yalikuwa hivi: MKE:Mbona leo una huzuni mume wangu? MUME:Ofisi yetu imeungua ni mimi,sekretari,mhasibu,bosi na mkurugenzi mkuu ndo hatukuwepo mi nilikuwa nimetoka nimeenda kujisaidia haja kubwa. MKE:Maskini ehee sasa hao familia zao...
  7. B

    Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

    Kwa kawaida matokeo hutoka mwezi wa pili ila nasikia watu wakisema kuwa mwaka huu yatatokd mwezi wa 4 pia huwa yanapatikana kupitia web ya www.necta.matoke.go.tz pia unaweza kuyaGoogle bila kuvisit hiyo web
  8. B

    Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?

    Thanx for voting The Great Thinkers
  9. B

    Kwanini wasichana wanashindwa kutuamini?

    Asanteni kwa maoni yenu ntayatekeleza rasmi kuanzia leo nawashukuru wote bila kujali ubaya,ukali au uzuri wa maoni yenu..
  10. B

    Mtu mmoja amekutwa amejinyonga huku Nansio-Ukerewe mkoani Mwanza

    isotope kipindi hiki alichaguliwa Machemli wa CHADEMA
  11. B

    Mtu mmoja amekutwa amejinyonga huku Nansio-Ukerewe mkoani Mwanza

    Huyu jamaa aliyekufa inasemekana alikuwa anapiganha Bar Meid na mwenzie sasa wakapigana mpaka wakapigana mapanga sasa haijajulikana kama alijiua au wenzie ndo walimuua kwa sababu alikutwa amejinyongea dirishani na dirisha lenyewe fupi ndo cha kushangaza
  12. B

    Je ulifaham kubinafsishwa kwa Ziwa Victoria wakati wa Uongozi wa RaisMkapa na Sumaye?

    Namaanisha kuwa watu hawa wawili walikuwa wanampango wa kubinafsisha Ziwa Kwa kipindi kile bado wako madarakani sasa sijui walikuwa na mpango gani miaka 77 na sisi wakazi wa kanda ya ziwa sasa je unahisi leo tungekuwa wapi sijui
Back
Top Bottom