Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,546
1,660
Anaefahamu anijulishe tafadhali pia kama kuna anae jua web anipe tafadhar
 
Matokeo yamefisadishwa kwa Rostam Aziz/Vodacom na Necta. Ukitaka kujua matokeo yako inabidi umlipe shs 400 kwa kila mwanafunzi kwa kila wakati. Hakuna ujanja wa kujua wenzako wamepata nini au shule yako imeshindana vipi na shule nyingine. Hivyo ndivyo serikali yetu, na hivyo nchi yetu pamoja na watu wake, vimetwaliwa na mto mmoja, tena mtu mwenyewe si raia kwani ni raia wa nchi nyingine.
 
kweli jamani anayejua atufahamishe manake hata mie nina mtoto wa kakangu natamani kweli kupata matokeo yake, alikuwa kichwa sana na tunampenda sana
 
Matokeo yamefisadishwa kwa Rostam Aziz/Vodacom na Necta. Ukitaka kujua matokeo yako inabidi umlipe shs 400 kwa kila mwanafunzi kwa kila wakati. Hakuna ujanja wa kujua wenzako wamepata nini au shule yako imeshindana vipi na shule nyingine. Hivyo ndivyo serikali yetu, na hivyo nchi yetu pamoja na watu wake, vimetwaliwa na mto mmoja, tena mtu mwenyewe si raia kwani ni raia wa nchi nyingine.

Acha kudanganya watu.
Matokeo yanatoka kwenye Internet kila mwaka.
 
Matokeo yamefisadishwa kwa Rostam Aziz/Vodacom na Necta. Ukitaka kujua matokeo yako inabidi umlipe shs 400 kwa kila mwanafunzi kwa kila wakati. Hakuna ujanja wa kujua wenzako wamepata nini au shule yako imeshindana vipi na shule nyingine. Hivyo ndivyo serikali yetu, na hivyo nchi yetu pamoja na watu wake, vimetwaliwa na mto mmoja, tena mtu mwenyewe si raia kwani ni raia wa nchi nyingine.

Mtu ovyooooo!!!!!!, kama mji usiokuwa mjumbe!!!!. Kama huna cha kuchangia kaa kimya utakuwa umefanya la maaana likiwemo la kutojaza saver ya JF
 
Umetumwa nini? au na wewe ni raia wa Iran. aliyosema ni ukweli. kama wamekutuma kawaambie wanaJF wanajua mpango mzima wa ufisadi
 
Matokeo yamefisadishwa kwa Rostam Aziz/Vodacom na Necta. Ukitaka kujua matokeo yako inabidi umlipe shs 400 kwa kila mwanafunzi kwa kila wakati. Hakuna ujanja wa kujua wenzako wamepata nini au shule yako imeshindana vipi na shule nyingine. Hivyo ndivyo serikali yetu, na hivyo nchi yetu pamoja na watu wake, vimetwaliwa na mto mmoja, tena mtu mwenyewe si raia kwani ni raia wa nchi nyingine.
ectopic crap
 
Ndugu,

Fuatilia matokeo yakitoka yanatangazwa redioni na kwenye runinga,na anayetangaza ni katibu mtendaji wa baraza la mitihani au waziri wa elimu,

Pia unaweza kutembelea wavuti ya baraza la mitihani yaani www.necta.go.tz,

Hakuna kulipa chochote,huyo Mzushi aliyesema unalipa shilingi 400,hajui chochote,No data no right to speak(Mao)
 
Matokeo yamefisadishwa kwa Rostam Aziz/Vodacom na Necta. Ukitaka kujua matokeo yako inabidi umlipe shs 400 kwa kila mwanafunzi kwa kila wakati. Hakuna ujanja wa kujua wenzako wamepata nini au shule yako imeshindana vipi na shule nyingine. Hivyo ndivyo serikali yetu, na hivyo nchi yetu pamoja na watu wake, vimetwaliwa na mto mmoja, tena mtu mwenyewe si raia kwani ni raia wa nchi nyingine.

You are right: Yaani NECTA hata website yao wameiblock ili kutoa mwanya kwa Vodacom kufanya biashara. Hii nchi inaelekea wapi?, watoto wa masikini kweli bado wanakamuliwa katika haki yao ya kujua wamepata nini? baada ya kulipia ada za shule, mtihani na sasa walipie kuona matokeo. Hii huduma kama kweli VODA wanaitoa ilitakuwa ni charity, yaani iwe bure kwa ajili ya Taifa. Kwanza ingewasaidia VODA kupata new customers kama lengo ni kujilimbikizia faida.
 
Back
Top Bottom