Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,104
- 165,306
Tehe tehe teheeeeeeeeee! kweli wewe salt, nimependa swali lako ila Je ndom nazo anazifahamu?
Swali lingine hilo!!!

Mi ni kjana mwenye umri wa miaka 18 niko katika uhusiano na msichana kwa mwaka mzima sasa lakini huyu msichana hataki kufanya mapenzi na mimi eti kisa anahofia kuwa ntamchezea tu na kumuacha nimeongea maneno yote ya kujitetea lakni inaonekana kama ni kazi bure na nampenda sana licha ya kuwa na wasichana wengi duniani ki ukweli nae ananipenda kwa jinsi ninavyoona anasema eti nisubiri mpaka tuoane sasa wana JF eti anachonifanyia ni sahihi jamani???