Achana na habari za aliyechoka maisha, hebu tueleze mgomo wa daladala hapo nansio leo asubuhi umekwisha na nini sababu za mgomo huo?
Hiki kitongoji cha Nansio Ukerewe ni cha muda mrefu sana ila nasikia hakina maendeleo kabisa!!! Kila baada ya miaka mitano wanachagua SSM hao hao!!!! Ni hatari kubwa!!
Rest in peace, uliyeamua kukatisha uhai wako!! Social problems!!!!!
siku hizi wanaongozwa na cdm tangu 2010.hiki kitongoji cha nansio ukerewe ni cha muda mrefu sana ila nasikia hakina maendeleo kabisa!!! Kila baada ya miaka mitano wanachagua ssm hao hao!!!! Ni hatari kubwa!!
Rest in peace, uliyeamua kukatisha uhai wako!! Social problems!!!!!
<br>Hiki kitongoji cha Nansio Ukerewe ni cha muda mrefu sana ila nasikia hakina maendeleo kabisa!!! Kila baada ya miaka mitano wanachagua SSM hao hao!!!! Ni hatari kubwa!!<br>
Rest in peace, uliyeamua kukatisha uhai wako!! Social problems!!!!!
Wewe kweli unaijua Nansio, hivi mwenyekiti wa halimashauri anaitwa nani vile?.<br>
Basi 2010 wakaamua kuchagua chama kipya. Mbunge CDM, madiwani karibia wote CDM, hadi mwenyekiti wa halimashauri CDM lakini wapi? Kila kukicha hali inazidi kuwa mbaya afadhali ya jana. Matokeo yake ndo kama hivi wanaanza kujirestisha in peace!