Wakuu naomba kujuzwa kama mwakyembe kabadilishiwa wizara au ni mm sijui mipaka ya wizara yake ya michezo,leo bungeni naona anaulizwa maswali kuhusu huduma za mahakama,kesi mbali mbali kucheleweshwa pia,kama wapo wajuzi wa hilo tafadhali mnifahamishe
Wakuu kwa mwenye tuition centre ambae anahitaji mwalimu wa physics,chemistry na biology napatikana wakati wote na nina uzoefu wa kufundisha
Contact: 0719 00 83 64
Wakuu nina elimu ya chuo kikuu na nina uzoefu wa kufundisha tuition kwa masomo ya sayansi yaani Physics,Chemistry na Biology. Naomba kama kuna mtu humu ana tuition centre au QT maeneo ya kimara tutafutane kwa namba 0719008364 lakin niwe mwalim wa part time ili niweze kuendelea na shughuli zangu...
Wakuu napata maumivu katika hali zifuatazo:-
1.Wakati fulani nikimaliza kukojoa mwisho natokwa na manii halafu maumivu makali ya korodani yanafuatia.
2.Nikitamani kufanya ngono hata kama sijafanya natokwa pia na manii na hufuatia na maumivu makali ya korodani.
Maumivu hayo huendana na uvimbe...
Wakuu naomba kwa anayefaham chuo cha MOUNT UKOMBOZI KILICHOPO DAR ES SALAAM ANIJUZE,vp kuhusu ubora wake,na vp baada ya kumaliza hapo kama naweza kupata ajira
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.