Blessed Son
Member
- Apr 23, 2015
- 34
- 23
Wakuu naomba kujuzwa hivi kwa GPA ya 2.7 mtu anaweza kuajiriwa kwenye tume ya utumishi au kwenye mashirika yasiyo ya kiserikali?
umesoma udsm mkuu?
Udsm mbona.hiyo tamu
hizo ni gpa za SAUT mkuu hazina ubora ila kazi utapata japo vumulia sana.
Ndio anaweza kuajiriwa kama alioomba nao wana GPA ya 2.5 kushuka chini
nani kakudanganya
Achen Uongo, Gpa Za Udsm Siku Hz Hazna Maana, Kitu SUA, DIT, IFM
Wakuu naomba kujuzwa hivi kwa gpa ya 2.7 mtu anaweza kuajiriwa kwenye tume ya utumishi au kwnye mashirika yasiyo ya kiserikali?