Natafuta nafasi ya kufundisha tuition centre masomo ya sayansi

Blessed Son

Member
Apr 23, 2015
34
23
Wakuu kwa mwenye tuition centre ambae anahitaji mwalimu wa physics,chemistry na biology napatikana wakati wote na nina uzoefu wa kufundisha

Contact: 0719 00 83 64
 
Unapatikana wapi kama upo kilimanjaro wilaya ya rombo nipm nikuunganishe ukafundishe shule ya serikal kwa muda! Kuna kaposho kidogo ila sio mbaya​
 
mkuu, mm ntakunganisha sehem hapa town, utantoa ngap ya udalali?
Wakuu kwa mwenye tuition centre ambae anahitaj mwalimu wa physics,chemistry na biology napatikana wakati wote na nina uzoefu wa kufundisha

Contact: 0719 00 83 64[/QUOTE
 
Natafuta tuition centre au shule ya kufundisha mathematics kwa olevel na hata primary napga kazi
simu no.0654 40 52 67
 
daah wakuu maisha ya kitaa yamenishinda aisee.... naombeni mnipe kazi yoyote ile iwe kufundisha au kokote.. isiwe ya ndani lakin... kama kufundisha naweza maths, ICT na physics nina degree ya maths na ICT ila nina izoefu pia kwenye physics...!!!
tusaidiane wadau... njaa kali huku!
 
Hi, looking for a Tanzanian friend that works in a company that normally bids for government tenders and knows about tendering, for business related purposes
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom