Natafuta kazi ya kufundisha masomo ya sayansi kama part time

Blessed Son

Member
Apr 23, 2015
34
23
Wakuu nina elimu ya chuo kikuu na nina uzoefu wa kufundisha tuition kwa masomo ya sayansi yaani Physics,Chemistry na Biology. Naomba kama kuna mtu humu ana tuition centre au QT maeneo ya kimara tutafutane kwa namba 0719008364 lakin niwe mwalim wa part time ili niweze kuendelea na shughuli zangu nyingine. NAWASILISHA!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom