Amekimbia...maana wamezoea kulalamika tu...ukiwapa fursa wanatokomea kusiko julikanaBlessed Son njoo sasa mungu kakujibu
Amekimbia...maana wamezoea kulalamika tu...ukiwapa fursa wanatokomea kusiko julikana
Ni kweli nina shida hyo ila siko interested na mkoa huo
iko tayari naomba nikutafute nije nifundisheHabari Wana Jf!
Mwalimu wa masomo tajwa hapo juu anahitajika katika shule ya sekondari Balamba Girls, Iliyoko Wilayani Ngara Mkoani Kagera.
Kwa Yeyote Aliyetayari Anitafute Kwa Namba Zifuatazo.
0715535719.
0753531957.