Blessed Son
Member
- Apr 23, 2015
- 34
- 23
Wakuu naomba kujuzwa kama mwakyembe kabadilishiwa wizara au ni mm sijui mipaka ya wizara yake ya michezo,leo bungeni naona anaulizwa maswali kuhusu huduma za mahakama,kesi mbali mbali kucheleweshwa pia,kama wapo wajuzi wa hilo tafadhali mnifahamishe