Blessed Son
Member
- Apr 23, 2015
- 34
- 23
Wakuu kwa yeyote anayemiliki tuition center au shule na anahitaji mwalim wa masomo ya sayansi yalotajwa hapo,nitafute kwa namba 0719 00 83 64
Nipo tayari kufundisha Biology na Geography ikibidi. 0654438208, nitafute tafadhali.Naomba mwalimu anaeteka kufundisha shule za private mkoani wa pwani.
Shule iko Kongowe mbagala inahitaji biology chemistry
Offer ni nyumba na chakula cha asubhi na mchana.
Mshahara ni 840, 0000/ mpaka 920, 000/
Nyingine iko Bagamoyo pwani.
Awe na mathematics
Mshahara 700, 000/ hadi 750, 000/
Aliekuwa tayari kuifanya awasiliane na Teachers Junction
Teachers Junction is an organsation which provides networks between Teachers and schools.
In one way we pave ways for teachers to get schools of their achelion on the second side we help school to achieve its mission and vission with strategies knowlge and strategies.
For more information
E-mail :
teachersjunction@hotmail.com
Call: +255713 810857
+255753 810857
Dar es saama
Coast
Morogoro