Recent content by BLACK TESLA

  1. B

    JamiiForums Tanzania History is made! Democratic Republic of Congo is now a new member of the East African Community

    Sasa ni muda wa kunufaika na butururu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mama Samia ameingia kwenye mtego wa wafanyabiashara kubembelezwa kulipa kodi, tumekwisha!

    Mapato yaliyo ongezeka kwa serikali ilopita ilikua ni ukusanyaji wa madeni ya kodi za nyuma na sio kwamba compliance iliongezeka,compliance ipo mikononi mwa mlipa kodi mwenyew na kama akitaka ku-evade bado anaweza,zaidi sana tutaishia kua na kesi nyingi ambazo sio za msingi katika mahakama za...
  3. B

    JamiiForums Tanzania What is wrong with our currency?

    Labda tueke hivi, Thamani ya pesa inapimwa na kipimo kiitwacho PPP(Purchasing Power Parity). Currency valuation ni economics manoeuvres tu ambazo zinawezwa kupikwa. Fatilia currency zenye thamani kubwa duniani je zinaakisi uhalisia wa uchumi wao?? Turudi kwenye hoja, thamani ya pesa inapimwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania What is wrong with our currency?

  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dunia inamkuza Thomas Edison na kumuacha Nikola Tesla wakati alikua mwizi, jambazi na tapeli?

    Ipo siku dunia itatambua mchango wangu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Naomba watu wenye kampuni ndogondogo wanaohitaji huduma za kodi wanitafute

    Sasa mkuu,samahani mimi mdogo wako ni mhitimu wa chuo cha IFM katika shahada ya usimamizi wa kodi naweza pata fursa ya intern hapo kwako nami nijifunze kwa vitendo... Nitangulize shukrani zangu za dhati kabisa
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SGR Kenya sasa rasmi ni "Big white Elephant", Maneno ya " Ndii yatimia.

    Brother mdogo ako nina shida,nimesoma katika field hii hii unayo inyumbua vyema(ECONOMICS)...kama hutojali niku dm au emailing
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tafakuri 10 mtekwaji wa mwaka Mdude

    Vipi mo naye alitekwa na chadema??
  9. B

    JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI KWENYE HOSPITALI YA RUFAA- MAWENI

    Ase muda umeisha,jana ndo ilikua deadline
  10. B

    JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI KWENYE HOSPITALI YA RUFAA- MAWENI

    Ivi mshahara wa mhasibu msaidiz kwenye hospitali ya rufaa kinaanzia ngap
  11. B

    JamiiForums Tanzania FAKE: Picha hii SIO ya aliyekuwa Waziri wa Ulinzi katika Serikali ya Sudan

    Uzushi ulio tukuka [emoji1313]
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Halotel waja kivingine

    Yeiy
  13. B

    JamiiForums Tanzania Dark arts za intellijensia II: Uchawi na kiini macho kwenye uwanja wa vita

    Sent from my iPhone using JamiiForums
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu dunia (earth)

    We si hutaki kutulia sehemu moja,ikizunguka na ww unaranda,utabaki Tanzania mpaka utapo tulia Sent from my iPhone using JamiiForums
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kazi na bata, kebehi kwa Watanzania

    Mbona hudadavui kitu kwa undani... Io kauli mbiu n Kazi na bata,yani kazi alafu bata..sio kazi tu
Back
Top Bottom