Hiyo buku 2 Mnayopewa ufipa isiwafanye mtake kuzua taharuki na kuondoa amani ya Nchi yetuelfu saba isikufanye upoteze thamani ya utu wako na isikufanye ujitoe ufahamu kijana,hata andika yako inaonesha ni mtu aliyekulupushwa kuandika!Najua vijana kadhaa watapewa jukumu la kufanya damage control katika hili na wengine watafanya matukio(Skendo) kadhaa ili kuleta distractions among citizens ila wakubwa zako wakumbuke jinai inadumu na haki haipotei ila hucheleweshwa tu.
Naionea huruma nchi yangu, nakisikitikia Chama changu ninachokipenda tokea ujana wangu.
Siku tatu Mdude alikuwa anakula nini?kaibuka na kuanza kubwabwajaID ya muda mrefu ila sikuwahi kuiona humu tangu nijiunge JF mnamo April 3, 2017.
Nimeiona kuanzia jana baada ya Mdude kupatikana. Umeumia kisa mbinu yenu imebuma na mkaamua kumuachia?
Boresheni mbinu zenu za utekaji. Full stop!
Kwa nini hamkumnyima chakula mlipomteka?Siku tatu Mdude alikuwa anakula nini?kaibuka na kuanza kubwabwaja