Recent content by biz

  1. biz

    Ni unafiki wa CHADEMA, Mbowe au Dr. Kitila Mkumbo?!

    We hujajua maana tamko rasmi bado,wakati huo ukifika utaratibu utafuatwa ndugu.isitoshe hujui usemalo na akili zako naanza pata mashaka nazo
  2. biz

    BAVICHA Arusha: yamuonya mkuu wa mkoa wa Arusha

    Muda wa ccm mahali pale haupo tena hata aje nani .Tumesema,tunasema,na tutaendelea kusema.CCM ARACHUGA NITOLEE
  3. biz

    CHADEMA wapelekana kortini

    Nyamaza maana hujui usemalo we mwananchi
  4. biz

    Jaji Mkuu Kushiriki Hukumu ya Lema

    hazikutoshi kabisa.Uyasemayo na unayozungumza mbele za umma tulitraji kuzipokea kutoka kwa mtu mwingine na si wewe
  5. biz

    PICHA: Mtoto wa Oscar Kambona ajiunga na M4C, wengi wajiunga

    uSIJE UKAKOSA HEKIMA KIASI HICHO MAANA HUWEZI KUWAAMINISHA WATANZANIA HAYO USEMAYO KWA KUWA fAMILIA NI MTANZANIA HIVYO FAMILIA YAKE INA KILA SABABU YA KUJIUNGA NA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA HUSUSANI CHAMA KINACHOKUJA KUCHUKUWA DOLA.KARIBUNI SANA NEEMA KAMBONA KTKA JESHI HILI NA UMMA WA WATZ.
  6. biz

    CHADEMA na CUF kipi mashuhuri??

    hii bado ni aibu sana huwezi kulinganisha na jeshi kubwa la cdm.
  7. biz

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    Damu ya watu wasio na hatia na iwe juu yao serikali na taasisi zake zote hata mwisho wa dahari
  8. biz

    Uteuzi Viti Maalumu CHADEMA!

    nimekupenda sana huwezi jua
  9. biz

    Namwombea Nape Aishi Maisha Marefu Ili Ashuhudie CHADEMA Itakavyowakomboa Watanzania

    Adui yako mwombee kuishi ili aone unavyo barikwa na mungu wa israel, mungu asiye shindwa ,mungu wa wenye mwili
  10. biz

    Bila Mbowe CHADEMA kwisha...

    Hata kama una mawazo sahihi lkn ulivyopanga kufikisha mawazo yako si sahihi.jipange
  11. biz

    Bila Mbowe CHADEMA kwisha...

    Ila heading ndiyo haisadifu yaliyomo.vinginevyo amefanya vizuri
  12. biz

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    Hadi mwili unasisimka halafu NAPE bila aibu anasanifu wa Tanzania leo kwa media ati kunahitajika uchunguzi ili kubaini waliomuua mwandishi huyo.Mungu kamwe hawezi kuyanyamazia haya
  13. biz

    Nauliza tu: Kwanini Zitto hashiriki kwenye M4C? Kwanini yupo karibu sana na CCM?

    swali lake ni la msingi hata mie ningeweza uliza.jibu kama majibu yapo
Back
Top Bottom