Facilitator
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 2,279
- 1,772
toa ujinga ujinga hapa lela hoja zenye akili. unalia lia kama demu, inakuuma sana mkumbo kitila kuwapo TBC??, na sio Zitto.
Umebanwa na pichu wewe
toa ujinga ujinga hapa lela hoja zenye akili. unalia lia kama demu, inakuuma sana mkumbo kitila kuwapo TBC??, na sio Zitto.
ndio mkuu yupo yeye Dr.kitila pamoja na wachambuzi wengine.
mkuu mimi sio gamba but nataka kuweka sawa double standard ndani ya chama chetu ktk kusimamia maazimio ya chama, kipindi hicho sio cha lugha bali wanazungumzia siasa za bunge kwa wabunge wa upinzani na chama tawala.
Umeulizwa anaongelea maswala ya Chadema? Ipo siku utakuja na hoja kwamba kwanini Dr Kitila anapokea mshahara pale UDSM wakati yupo Chadema. Ukiwa gamba akili zote zinahamia kwenye Masaburindio mkuu yupo yeye Dr.kitila pamoja na wachambuzi wengine.
Umeulizwa anaongelea maswala ya Chadema? Ipo siku utakuja na hoja kwamba kwanini Dr Kitila anapokea mshahara pale UDSM wakati yupo Chadema. Ukiwa gamba akili zote zinahamia kwenye Masaburi
Usijali ndio mambo ya hapa JF lakini wewe umeshindwa kujua maudhui ya kipindi kile?mkuu mimi sio gamba so kwa hilo naomba tuheshimiane!
Ndio anazungumzia maswala ya wabunge wa CHADEMA.
Hapo siku chache zilizopita CHADEMA kupitia mwenyekiti wake Taifa hon. Freeman Mbowe wali-declare uamuzi wa kuisusia na kutangaza mgogoro na TBC1 tv na Radio yake pamoja na kuutangazia umma kuwa TBC1 ni janga la kitaifa, pia ikumbukwe kwamba maamuzi hayo si ya Mbowe as a chairman bali ni maamuzi yalitokana na kamati kuu ya chama.
Iwaje sasa Dr.Kitila Mkumbo ashiriki kwenye kipindi cha TBC1 cha" THIS WEEK IN PERSPECTIVE" kinachorushwa leo hii saa 3 na TBC1? Pia ikumbwe Dr.Kitila ni mmoja wa viongozi wa juu wa chama.
Pia itakuwaje kama kesho akija na Zitto naye kushiriki TBC1 mtamwitaje?
My outlook:
Je huo ni unafiki wa CHADEAMA, Mbowe au Dr.Kitila?
kwa hiyo mgomo wenu wa kususa kutoangalia tbc unaisha lini?THIS WEEK IN PERSPECTIVE hakirekodiwi na TBC, ni kipindi binafsi ambacho kinaweza kununuliwa na kurushwa na kituo chochote! Ndio maana hata CHANNEL TEN kuna wakati walikua wanakinunua na kukirusha pia!
kwa hiyo mgomo wenu wa kususa kutoangalia tbc unaisha lini?
KIM KARDASH leo huji na thread zako za kulinganisha CUF na CDM tena?kwa hiyo mgomo wenu wa kususa kutoangalia tbc unaisha lini?