JOASH MUSSA
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 515
- 199
Kilichopata kura nyingi ndicho mashuhuri na kinachokua kwa kasi, kumbuka hakuna mbunge wa chadema aliyechaguliwa chini ya kura 10,000! Ila cuf ni wengi sana!
udikteta ni upi kati ya kula mali ya uma na tunashindwa kuongea kuogopa kuambia bomu la machozi limekupiga bahati mbaya au kutetea haki za wanyonge?
CUF ni chama kisicho na sera kimebakia na bendera tu! Hakuna umaarufu hapo zaidi ya kufadhili UAMSHO
Ha ha haaaa naona unajichanganya..kwa kigezo chako cha idadi ya wabunge ndio umaarufu na kupendwa kwa chama,sasa mbona hao wanaowapenda wamewapa safu nyembamba sana ya wabunge ukilinganisha na ambao hawapendwi kama chadema inavyopendwa??Ndio tumia njia hiyo hiyo, kuna tofauti kati ya umaarufu na kupendwa... Inawezekana CCM ni maarufu kuliko CDM lakn CDM ikawa inapendwa kuliko CCM..!!
ok kwa hiyo hiyo determinant ya idadi ya wabunge is applied mnaposhindanishwa na cuf tu basi kwa kuwa mnawazidi wabunge lakini kwa ccm inakua haifanyi kazi!hakuna ugonjwa mbaya duniani kama mapenzi nimeamini,ukipenda unakua kipofuNi kwa nini una upeo mdogo wa kufikiri uliuliza kati ya Cuf na Cdm nimekupa jibu ushakimbilia ya CCM. Acha undumilakuwili stick to point.
kwani Cuf ni chama cha siasa au taasisi ya dini? embu wanajamvi mnijuze maana niliona hijabu na balakhashia ndo zilijaa kwenye mkutano ule wa jana...
Mada hii haujaitendea haki kabisa kwa sababu inajulikana kabisa kwamba CDM, ndicho chama mbadala kwa CCM, Na kinakubalika sana kwa sasa kuliko vyama vyote vya upinzani. Mambo mengi yako wazi kwa mfano unaweza kuangalia matokeo ya kura za uchaguzi wa Uraisi Mgombea wa CUF Aliachwa mbali sana na Dr Slaa wa CDM. Mbili CDM ni chama chenye Madiwani wengi Tanzania kuliko chama chochote cha Upinzani. Tatu CDM ni chama chenye wabunge wengi Tanzania kuliko chama chochote cha upinzani. Nne Cdm Ni chama kinachokubalika kwa sehemu kubwa ya Tanzania kuliko vyama vingine vya upinzani. CUF, ni chama chenye msomi mzuri sana Ndugu Prof Lipumba lakini kinakubalika sana PEMBA,LINDI,MTWARA, Na Katika baadhi ya maeneo fulani fulani.Unaweza kujiuliza Maeneo kama Kigoma ni CHADEMA NA NCCR Mageuzi.Na nafikili CUF wanahaja ya kujiuza zaidi ili waeleweke kwa jamii kubwa ya Tanzania. Hata Tabora CDM wako juu. Hata Dar Es Salaam, CDM wako juu ya CUF. Enzi za CUF kutamba zilikwisha ile miaka ya 2000, hadi 2005. Kuanzia 2010 ni CDM. CDM kwa taarifa yenu wana wabunge wengi zaidi mkoa wa Shinyanga kuliko hata Kilimanjaro. Kilimanjaro ina wabunge watatu wa CDM sawa na Mwanza. Kusema kwamba CDM inaishia Himo ni mzaa, utani,upuuzi,propaganda,ukipofu, ghiliba na ujinga uliopitiliza. Na nafikili watu wenye timamu hawawezi kusema hili, ni wale hamnazo tu. Kwa sababu vielelezo vyote vipo wazi. Na kama unabisha CDM NA CUF wapambanishwe katika majiji haya manne ya Tz kimikutano uone.
kumbe lengo ni kuwa mbele ya cuf na sio kushinda ubunge!wapinzani wa bongo bwana,mnazingua sana,wananchi mjionee huu ndio aina ya upinzani tulionao ambao unakula kodi zetu bure tu kwa njia ya ruzukuNataman kauchaguz ata cha ubunge kafanyike waumbuke watu .kama igunga ivi tuone nani atakuwa mbabe
Wakiungana itakuwaje? Bwn CCM+Bi CUF best men and women, POLICCM,msajili wa vyama vya siasa,Sasa mbona wataka kumfundisha bintI ''UHUNI'' MWACHE ATULIE NA MTU WAKE CDM kama uijuavyo IMESIMAMA KI-KAMILIFUmanake hawataki kuungana kila mmoja anajidai mkubwa na anajiweza kuliko mwenzie ndio mana nikaitisha kura ya maoni hii isiyo rasi ili tujue then tuwafahamishe,wnatakiwa kujipanga kuanzia sasa kwa ajili ya 2015
kuhusu cuf i have no idea zaidi ya kujua ni chama cha siasa ila chadema nilipata kusikia kwamba ni chagga delopment something nimesahau kidogo,je upo ukweli wa hilo??nomba wanajamvi wanaoijua chadema sawasawa wanijuze hili pia,naona limenijia wakati mzuri sana
hii bado ni aibu sana huwezi kulinganisha na jeshi kubwa la cdm.
Ha ha haaaa naona unajichanganya..kwa kigezo chako cha idadi ya wabunge ndio umaarufu na kupendwa kwa chama,sasa mbona hao wanaowapenda wamewapa safu nyembamba sana ya wabunge ukilinganisha na ambao hawapendwi kama chadema inavyopendwa??
Ndio kaka nimehesabiwa,waislam ndio wakorofi wanapingana na serikali kwenye hili la sensa bila ya kuwa na hoja za msingi..lengo ni kuifanya serikali ishindwe kufanya kazi zake kitu ambacho hakikubaliki kwa serikali haina diniKK hivi umehesabiwa ktk sensa iliyomalizika juzi?
Kilichopata kura nyingi ndicho mashuhuri na kinachokua kwa kasi, kumbuka hakuna mbunge wa chadema aliyechaguliwa chini ya kura 10,000! Ila cuf ni wengi sana!