PICHA: Mtoto wa Oscar Kambona ajiunga na M4C, wengi wajiunga

Kamanda Neema Kambona wengi sana tunamfahamu na kumkubali sana harakati zake kulinda haki za binadamu nchini akitokea kwenye ofisi yake iliozoeleka kwa vijana wengi paleTANGI BOVU kushoto njiani kuelekea Tegeta jijini Dar es Salaam.

Tafadhali Mh Dr Slaa, mwingize huyu kijana mwenzetu Neema Kambona pamoja na yule Mama Winifrida John wa kule Nyololo mkoani Iringa kuingia moja kwa moja kwenye listi ya akinadada chipukizi wa chama wanaohitaji kuandaliwa vizuri ili kuja kuwa kama Kamanda Chiku Abwao, Owenya, Kiwelu na Mhe Mbunge wa Kawe, nikiwataja japo kwa uchache tu.
 
Tuache ulimbukeni hana lolote la kutuletea hapa wala haipi CDM leverage yeyote politicaly. Hi sio show busi cdm need people who are capable to initiate change sio mtt wa fulani mambo kama hayo ni magamba
 
Mkuu usiende mbali sana kuchachawa, fanya hivi, hebu jaribu tu ku-google jina la huyu Kamanda Neema Kambona na utagundua jinsi gani alivyo mtu makini na kuishi tu maisha ya kuku-wa-kienyeji tu sawa na sisi huku.

Kumbuka Marehemu Oscar Kambo aliaga dunia mwaka gani na Neema yeye ana umri gani hadi sasa. Je ni kweli aliweza kubahatika kudekezwa ki-ikulu kama wale wengine tunaowaona wakijigamba mitaani na kuchomolea watu bastola kwenye kumbi za starehe?

Kama kweli unao ufahamu mzuri wa siasa, huyu dada analo la kuleta CHADEMA huku mikoa ya Kusini iliokua ikimthamini sana Kambona watakapoanza kuona kwamba ndani ya CDM hata na wao wamewakilishwa, na akina mama makini kote nchini nao watajihisi hivo hivo. Hebu nenda kwenye GOOGLE kwanza upate kujiridhisha na kusuuzika roho yako.

Hata hivyo mtu mbovu kwani tutashindwa kumtambua na kumuonyesha lango????????

magamba wanakosa usingizi , na bado. huu ndio mwanzo.
 
Hoja zako mkuu ni hafifu sana. Kukutana ktk kumbi za Hyatt, au kizota au kuwa na ofisi Sukari house si hoja kabisa hasa ukichukulia matawi mengine yamezaliwa juzi juzi tu. Siasa zinapigwa kila mahali, nadhani umeshasikia kitchen table politics approaches ambazo zilimnufaisha Obama kumpiga chini yule mzee mchovu mwenye mavyuma ktk kila sehemu za mwili ! JKN alipoanza harakati za ukombozi hakuwa na ofisi, lakini ktk vikao chini ya miembe na mabaraza ya BAO ishu zilikatwa na guess what, haikuchukua muda ofic zikafunguliwa na mkoloni na mabunduki na sharubu zake akapigwa chini !

Wenye maofisi mazuri, na majengo ndo hao akina Dhaifu na serikali zake na hao nyagi, JD, Joni Mtembezi na hata Crowns zinapigwa sana plus totoz lakini angalia nchi imefika wapi na inakwenda wapi. Nyumbani kunaungua yeye yupo busy kutafuta masifa eti anapeleka jeshi Kongo.. !

watu wamechoshwa na sasa wameingia ulingoni kupambana. Sidhani hata hao CUF, wala NCCR mageuzi enzi zake walifikia hatua kama hii ya kuhamasisha watu, na kumbuka hawa wapiga boksi sio watu wa kuhongwa vitumbua, kofia au mikate ya kumiminina kama walivyozoea, hawa ni watu ambao wana akili zao na hawawezi danganywa au ongopewa na vikombe vya babu au yule jangili ya kiluo aliyelipwa na Kova na kujifanya eti yeye ndiye alimpiga na kumteka Ulimboka !!

Huu moto hauzimiki, na ukizima basi ujue kuna mtu atakuwa kalala chali anavuja damu mpaka ktk masaburi !!!

Ukweli husemwa:

Siasa za watembezi kutoka bongo bana, kila kitu utapata. swaga, majigambo, mbwembwe na uchakachuaji. Ukizichungulia kwa undani, hakuna kitu chochote cha maana. Si CCM UK wala CHADEMA UK. Leo CHADEMA wanakuja na santuri nyingine mpya yenye kichwa cha habari kinachoweza hata kumfanya kichaa akapona. Kesho ni zamu ya CCM UK.

Kweli kasi ya CHADEMA UK inatisha, kama ndiyo kukutana kwenye pub za East London na kuanza kujadili mstakabali wa taifa baada ya kutandika Guinness foreign extra na Jack Daniel na hapo hapo wengine kuanza kukumbuka kama wanahitaji kuwa na tiketi yenye kitambulisho chenye nembo ya CHADEMA itakayowapa usafiri wa bure kwenye Pub za Wakenya na Wanaigeria za East London. Kweli siasa kwa sasa zimefika kwa wenyewe.

Hata hivyo, bora ninyi mnaopenda tujue kama CHADEMA UK ofisi ziko kwenye meza za Pub. CCM UK wao hata pesa za kutokea nje hawana, achilia mbali ukumbi wa mikutano. Mikutano yao inafanyika jikoni kwenye one bedroom flat.

Kwa nini tusiendelee kufanya kile ambacho tunakiweza (box na kuosha wazee wa kizungu) kuliko kujiingiza kwenye taaluma ambazo hatuna ujuzi nazo.

Watembezi wa Ulaya, ni vizuri ya Kaizari tumwachie kaizari na sisi tuendelee na ya Mussa
 
Habari njema. 2015 ni lazima kieleweke!!! Zile remmitence zenu home zambatane na ujumbe chagua CDM!!!!
 
Mbona hiyo mikono hawaachani sasa? Halafu kwanini Kambona alitimuliwa na Mwalimu lakini leo Chadema wanamkubalia mtoto wake uanachama kiurahisi hivyo.

Real?? Kwahiyo hata kama Kambona alikosea basi uzao wake wote nao umekosea? Kama ingekua hivyo basi na familia fulani zingepotea kwenye ramani ya CCM (just saying). Yaani kama baba yangu alikuwa jambazi basi na mimi nastahili kufungwa? Siamini kabisa kwenye hili lakumpima mtoto kwa utendaji wa baba yake, unless kuna makosa au actions fulani amezifanya exactly sawa na baba yake ambazo zimejitokeza/zimekuwa proved.
 
Hoja zako mkuu ni hafifu sana. Kukutana ktk kumbi za Hyatt, au kizota au kuwa na ofisi Sukari house si hoja kabisa hasa ukichukulia matawi mengine yamezaliwa juzi juzi tu. Siasa zinapigwa kila mahali, nadhani umeshasikia kitchen table politics approaches ambazo zilimnufaisha Obama kumpiga chini yule mzee mchovu mwenye mavyuma ktk kila sehemu za mwili ! JKN alipoanza harakati za ukombozi hakuwa na ofisi, lakini ktk vikao chini ya miembe na mabaraza ya BAO ishu zilikatwa na guess what, haikuchukua muda ofic zikafunguliwa na mkoloni na mabunduki na sharubu zake akapigwa chini !

Wenye maofisi mazuri, na majengo ndo hao akina Dhaifu na serikali zake na hao nyagi, JD, Joni Mtembezi na hata Crowns zinapigwa sana plus totoz lakini angalia nchi imefika wapi na inakwenda wapi. Nyumbani kunaungua yeye yupo busy kutafuta masifa eti anapeleka jeshi Kongo.. !

watu wamechoshwa na sasa wameingia ulingoni kupambana. Sidhani hata hao CUF, wala NCCR mageuzi enzi zake walifikia hatua kama hii ya kuhamasisha watu, na kumbuka hawa wapiga boksi sio watu wa kuhongwa vitumbua, kofia au mikate ya kumiminina kama walivyozoea, hawa ni watu ambao wana akili zao na hawawezi danganywa au ongopewa na vikombe vya babu au yule jangili ya kiluo aliyelipwa na Kova na kujifanya eti yeye ndiye alimpiga na kumteka Ulimboka !!

Huu moto hauzimiki, na ukizima basi ujue kuna mtu atakuwa kalala chali anavuja damu mpaka ktk masaburi !!!
Halafu wengi wa wapiga boksi walikimbizwa na sera mbovu za serikali ya ccm,na wao wameshaona jinsi nchi za wenzetu wanavyopigania haki na maendeleo.Lazima watajiuliza why not us?na wakitizama,wataona kikwazo ni ccm ambao wengi wao ni mafisadi wanaotafuna nchi na huku wananchi wengi ni masikini wakutupwa wasiojuwa hata mlo wa siku watapata wapi.
 
Mbunge mpya wa viti maalum lakini na wasiwasi na uraia wake huyu yatakuwa mambo kama ya Leticia Nyerere.
 
Hoja zako mkuu ni hafifu sana. Kukutana ktk kumbi za Hyatt, au kizota au kuwa na ofisi Sukari house si hoja kabisa hasa ukichukulia matawi mengine yamezaliwa juzi juzi tu. Siasa zinapigwa kila mahali, nadhani umeshasikia kitchen table politics approaches ambazo zilimnufaisha Obama kumpiga chini yule mzee mchovu mwenye mavyuma ktk kila sehemu za mwili ! JKN alipoanza harakati za ukombozi hakuwa na ofisi, lakini ktk vikao chini ya miembe na mabaraza ya BAO ishu zilikatwa na guess what, haikuchukua muda ofic zikafunguliwa na mkoloni na mabunduki na sharubu zake akapigwa chini !

Wenye maofisi mazuri, na majengo ndo hao akina Dhaifu na serikali zake na hao nyagi, JD, Joni Mtembezi na hata Crowns zinapigwa sana plus totoz lakini angalia nchi imefika wapi na inakwenda wapi. Nyumbani kunaungua yeye yupo busy kutafuta masifa eti anapeleka jeshi Kongo.. !

watu wamechoshwa na sasa wameingia ulingoni kupambana. Sidhani hata hao CUF, wala NCCR mageuzi enzi zake walifikia hatua kama hii ya kuhamasisha watu, na kumbuka hawa wapiga boksi sio watu wa kuhongwa vitumbua, kofia au mikate ya kumiminina kama walivyozoea, hawa ni watu ambao wana akili zao na hawawezi danganywa au ongopewa na vikombe vya babu au yule jangili ya kiluo aliyelipwa na Kova na kujifanya eti yeye ndiye alimpiga na kumteka Ulimboka !!

*Huu moto hauzimiki, na ukizima basi ujue kuna mtu atakuwa kalala chali anavuja damu mpaka ktk masaburi !!!
Hakuna la kukatisha tamaa moto wa M4C unazidi kuchoma,we kaa pembeni acha watu wapite kuelekea ukombozi.
 
halafu wengi wa wapiga boksi walikimbizwa na sera mbovu za serikali ya ccm,na wao wameshaona jinsi nchi za wenzetu wanavyopigania haki na maendeleo.lazima watajiuliza why not us?na wakitizama,wataona kikwazo ni ccm ambao wengi wao ni mafisadi wanaotafuna nchi na huku wananchi wengi ni masikini wakutupwa wasiojuwa hata mlo wa siku watapata wapi.
sisi sote ni ndugu, tatizo ni ccm!
 
Hoja zako mkuu ni hafifu sana. Kukutana ktk kumbi za Hyatt, au kizota au kuwa na ofisi Sukari house si hoja kabisa hasa ukichukulia matawi mengine yamezaliwa juzi juzi tu. Siasa zinapigwa kila mahali, nadhani umeshasikia kitchen table politics approaches ambazo zilimnufaisha Obama kumpiga chini yule mzee mchovu mwenye mavyuma ktk kila sehemu za mwili ! JKN alipoanza harakati za ukombozi hakuwa na ofisi, lakini ktk vikao chini ya miembe na mabaraza ya BAO ishu zilikatwa na guess what, haikuchukua muda ofic zikafunguliwa na mkoloni na mabunduki na sharubu zake akapigwa chini !

Wenye maofisi mazuri, na majengo ndo hao akina Dhaifu na serikali zake na hao nyagi, JD, Joni Mtembezi na hata Crowns zinapigwa sana plus totoz lakini angalia nchi imefika wapi na inakwenda wapi. Nyumbani kunaungua yeye yupo busy kutafuta masifa eti anapeleka jeshi Kongo.. !

watu wamechoshwa na sasa wameingia ulingoni kupambana. Sidhani hata hao CUF, wala NCCR mageuzi enzi zake walifikia hatua kama hii ya kuhamasisha watu, na kumbuka hawa wapiga boksi sio watu wa kuhongwa vitumbua, kofia au mikate ya kumiminina kama walivyozoea, hawa ni watu ambao wana akili zao na hawawezi danganywa au ongopewa na vikombe vya babu au yule jangili ya kiluo aliyelipwa na Kova na kujifanya eti yeye ndiye alimpiga na kumteka Ulimboka !!

Huu moto hauzimiki, na ukizima basi ujue kuna mtu atakuwa kalala chali anavuja damu mpaka ktk masaburi !!!

Mwenye macho na asikie
 
Sura ya 7, toleo la 2006 la KATIBA ya CHADEMA ambayo ipo kwenye website yao itakusaidia katika hili. Hakuna Tawi la CHADEMA lililo nje ya NCHI.(7.2.1). Shughuli hii iliyofanyika UK ni batili tangu mwanzo wake.

NIMEKUKUBALI KWELI WEWE UNAIJUA cdm SIO HAWA WENGINE WAPIGA DOMO
 
Kamanda Neema Kambona wengi sana tunamfahamu na kumkubali sana harakati zake kulinda haki za binadamu nchini akitokea kwenye ofisi yake iliozoeleka kwa vijana wengi paleTANGI BOVU kushoto njiani kuelekea Tegeta jijini Dar es Salaam.

Tafadhali Mh Dr Slaa, mwingize huyu kijana mwenzetu Neema Kambona pamoja na yule Mama Winifrida John wa kule Nyololo mkoani Iringa kuingia moja kwa moja kwenye listi ya akinadada chipukizi wa chama wanaohitaji kuandaliwa vizuri ili kuja kuwa kama Kamanda Chiku Abwao, Owenya, Kiwelu na Mhe Mbunge wa Kawe, nikiwataja japo kwa uchache tu.
Kwa hilo chukulia limepita,Dr na mabint damu damu yaani usione makeke yote yale ni dhaifu kwa hivi viumbe kama James Bond 007.
 
photo%25281%2529.JPG

Kamanda Chris ebu mwambie karani wako anatia aibu minywele timu timu kama vipi mwagizishie hata chanio la mbao au analala chini ya madaraja kwa David Cameroun?
 
Mbona hiyo mikono hawaachani sasa? Halafu kwanini Kambona alitimuliwa na Mwalimu lakini leo Chadema wanamkubalia mtoto wake uanachama kiurahisi hivyo.
uSIJE UKAKOSA HEKIMA KIASI HICHO MAANA HUWEZI KUWAAMINISHA WATANZANIA HAYO USEMAYO KWA KUWA fAMILIA NI MTANZANIA HIVYO FAMILIA YAKE INA KILA SABABU YA KUJIUNGA NA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA HUSUSANI CHAMA KINACHOKUJA KUCHUKUWA DOLA.KARIBUNI SANA NEEMA KAMBONA KTKA JESHI HILI NA UMMA WA WATZ.
 
photo%25281%2529.JPG

Kamanda Chris ebu mwambie karani wako anatia aibu minywele timu timu kama vipi mwagizishie hata chanio la mbao au analala chini ya madaraja kwa David Cameroun?
hahahaah, hapa mwisho utasikia kuna mtu hakupiga mswaki,
Wabongo kwa vituko bwana. ila umenichekesha sana
 
Back
Top Bottom