Bila Mbowe CHADEMA kwisha...

Nyuma ya mafanikio ya mwanaume jua kuna mwamke shupavu, hivyo pamoja na mafanikio ya mh.Mbowe ndani ya chadema jua nyuma yake kuna washauri makini.!!
 
Hata kama una mawazo sahihi lkn ulivyopanga kufikisha mawazo yako si sahihi.jipange
 
Ww unaleta mawazo ya kuku tu,ww ni jamíí ya magamba,si wakati wa nani amefanya nini?Ni wakati wa utaifanyia nn cdm kuingia ikulu,mleta mada jipange haina makali hii
 
Back
Top Bottom