ma2mbo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 697
- 326
Mkuu mbona unatumia nguvu nyingi bila sababu yeyote, halafu inasikitisha kuona unawagawa watu kwa misingi ya dini, kwa hiyo Chadema hakuna Waislam? Na kuhusu mauaji vipi mapigano ya Congo, mauaji ya Rwanda, Burudi, Kenya, Uganda, wamesababisha Waislam? Jenga hoja za msingi sio porojo.
duh wewe jamaa mdini sana.