Recent content by Bin Shabam

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mbona Mzee wa Komesho(AY) hakumualika Crazy GK kwenye harusi yake?

    Gk anasoma kwa sasa.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nauza Vifaranga vya Kuchi

    Yani kifaranga tu 50000!!!!!!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wasifu Samwel Kiboye M/kiti wa CCM mkoa wa Mara

    Mtoa mada anataka wasifu wa huyo mkiti. Nyinyi mnatoa hadithi zingine.
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania PICHA: Binti amshangaza mpenzi wake kwa kumnunulia gari siku ya Valentine

    Kawaida hiyo
  5. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mchepuo wa CBG Advance utasoma masomo mangapi jumla?

    Yani wewe hadi unamaliza 4m4 na unafaulu unabalance combination hujui 4m5 unasoma masomo mangapi. Pole mkuu.
  6. B

    JamiiForums Tanzania MAHAKAMANI: Ofisa wa TRA amekana kumiliki magari 19

    Kama ni kweli sheria ichukue mkondo wake
  7. B

    JamiiForums Tanzania Siku moja baada ya kuolewa, bibi harusi akimbia ndoa

    Mambo ya dini waachieni wenye dini yao. Ila kwa kuwa nchi yetu haiendeshwi kwa mfumo wa dini tujadili kwa upande wa serikali. Kama ni kweli hajafikisha 18 years ni kosa kubwa.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ukuta wa Mererani wakamilika kwa zaidi ya asilimia 98

    Picha mkuu
  9. B

    JamiiForums Tanzania Natoa pole kwa mapacha walioungana, Consolatha na Maria

    Mungu awatie nguvu hawa watoto.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ufupi na Urefu

    Mtoa mada umeshaoa?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tuliokuwepo enzi za utawala wa Ali H Mwinyi tukutane hapa!

    Haya wahenga tuambieni
Back
Top Bottom