Natoa pole kwa mapacha walioungana, Consolatha na Maria

Natoa pole kwa mapacha walioungana, Consolatha na Maria

Mna uhakika jamani au mnahukumu kwa mambo ya kusikia mkichanganyanya na chuki za kisiasa??
Chuki za kisiasa ndizo zinageuza mwelekeo wa cannula..

Hawa mabinti nasikia wana hali mbaya mmoja ana hofu na woga ,na mwenzie ni mngonjwa taabani.
Ndoto yao ya kwenda chuo kikuu
Pamoja na kuolewa itafikia wapi.
So sad
 
Mapacha walioungana, Consolata na Maria bado wanaendelea kutibiwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) jijini Dar es salaam.

Pichani, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipofika hospitalini hapo kuwajulia hali na kuwatakia uponyaji wa haraka.

Namuomba Mungu ili Consolata na Maria wakapate kupona na kurejea chuoni kuendelea na masomo yao.
View attachment 693672

Wakuu hivi consolata na maria akiumwa mmoja wanaumwa wote?
Ndugu wana jf tuwaombee ndugu zetu wapone.

Wanadamu tuna maisha ya mafupi sana na yamejaa mateso tele...


Mola awatie nguvu warejee kwenye hali zao za kawaida
 
Walivyoungana hawa sio complicated sana. Ila wanaoshare moyo na uti wa mgongo ndo ukiwatenganisha mmoja lazima afe, so akifa mmoja kazi inakuwa rahisi sana maana itabidi kuukata mwili wa mmoja na mmoja aendelee kuishi. Ila kukiwa na ile mishipa mikubwa ikawa wanautumia pamoja huo tena ni mtihani. Anyway mm sio daktari ila huwa nasoma sana maswala ya kitabibu. Na huo ndo ukweli ninaoujua. Na kwa kiasi kikubwa operation hizi huwa ni 75asilimia kupoteza. Kuna wengine wa afganistan walitengenishwa wakafa wote
 
Hivi wanachangia viungo vya uzazi au kila mmoja ana vyake
 
Baba Mwenyezi Mungu hujawahi kushindwa. Waponye watoto wako hawa kwa Mapenzi yako.
 
Hakika Mungu baba tunakuomba uwahurumie na kuwaponya malaika wako hawa Maria na Consolata
 
Aisee. Eeh Mwenyezi Mungu tunaomba ukasimame na watoto hawa.
 
Mponyaji Wa wagonjwa,najua kuwa ww haumwi ndo maana hauko hata kiimani ila cku ukiumwa utamjua tu!
Mimi nimjue yeye km nani ? Wakati ye mwenyewe alikuwa binadamu km mimi, Alikuwa anakunya na anakula km tulavyo sisi, tena me nimemzidi maana Nna Mke, , ye kafa ana hata Mke wala mtoto wa kusingiziwa, Ila alikuwa mtume mtukufu wa M/mungu na nabii kwa wana Israel pekee
 
Mwingine naye sidhani kama atachukua muda mrefu kabla ya kufariki. Tuseme ndiyo miujiza ya Mungu anaishi kwa muda mrefu akili yangu hata haitaki kuwazia maisha ya huyo atakayekuwa hai.
Naona kama mmoja yuko kwenye life supporting machine,?? Kama kwel bas ni hatari zaidi kitabibu kwan uyo akienda kuna kitu inaitwa "euthanasia" lazima kichukue nafasi for the sake of the remaining one....

So sad indeed....
 
Naona kama mmoja yuko kwenye life supporting machine,?? Kama kwel bas ni hatari zaidi kitabibu kwan uyo akienda kuna kitu inaitwa "euthanasia" lazima kichukue nafasi for the sake of the remaining one....

So sad indeed....
Ni heri wafanye hivyo walahi
 
Back
Top Bottom