hivi nursing kwa cbg wanakubali au nilisoma muongozo vibaya??
CBG nursing hawa kubali bali alie soma CBN ana kubaliwa
hivi nursing kwa cbg wanakubali au nilisoma muongozo vibaya??
Habari!! Naomba kujua katika mchepuo wa CBG huko advance utatakiwa kusoma masomo mangapi pamoja na combination yako?
Unacheza tu kama upo kwenye rumbaMusic wa hayo masomo upoje?