Ufupi na Urefu

Ufupi na Urefu

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,762
Habari zenu
Mimi na swali katika mapenzi uwe msichana au mvulana unavutiwa na mtu mfupi au mrefu?
Kwamaana wengine wameoa wake warefu wengi wafupi .
Ila napenda kujua mitazamo yenu pia .
 
Huyu ni ke mkuu
Daah sorry mkuu sikujua mpaka uliponshtua ndo nmeenda chungulia.[emoji23][emoji23]

a3658111e6b3a3c320db9c284406d0ad.jpg
 
Habari zenu
Mimi na swali katika mapenzi uwe msichana au mvulana unavutiwa na mtu mfupi au mrefu?
Kwamaana wengine wameoa wake warefu wengi wafupi .
Ila napenda kujua mitazamo yenu pia .
Khaaa.....
 
Nauliza hivyo kwa mana kuna mtu anamambo yakitoto eti haoi mke mfupi anaogopa kuchekwa.
 
Ufupi ,urefu mipango ya mola

Wembamba ,unene juhudi ya kula

Mfupi na mrefu kitandani wote sawa tu
 
Back
Top Bottom