Recent content by billionaire17

  1. billionaire17

    Now Withdraw from PAYPAL to tigopesa, mpesa & Airtel money

    Nina shida na hii huduma, ila hujanishawishi hata kidogo.
  2. billionaire17

    Mbinu za Kuishi muda mrefu bila Kufa kwa Njaa hata kama huna kazi

    Huu ushauri, umeuandika vizuri, ila ni ushauri uliopitwa na wakati. Kwa sasa tunahitaji mawazo chanya kuliko hasi. Asiyefanya kazi na asile ni maandiko hayo yalituasa hivyo. Jaribu kuandika tena kwa uchanya zaidi
  3. billionaire17

    Sheria ya makampuni inaruhusu mmiliki mmoja (share holder) ?

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] hiyo ipo reseached rasta! Nahisi wewe ndiyo upo nyuma ya taarifa, acha visheri vinadumaza akili. All in all nimekupa elimu
  4. billionaire17

    Sheria ya makampuni inaruhusu mmiliki mmoja (share holder) ?

    Mabadiliko hayo hayapo enforced. Ili sheria iwe enforced kuna procedure zake, moja ikiwa lazima iwe gazzeted kwenye Gvt gazzete. Hiyo ammendment haijawa gazzeted. Kwa hiyo haitumiki bado.
  5. billionaire17

    Sheria ya makampuni inaruhusu mmiliki mmoja (share holder) ?

    Mimi siyo mwanasheria wa Mo! Ila kwa ufafanuzi private company nyingi mwenye hisa kubwa ndiyo mmiliki, ili kujua hiyo kampuni tajwa hapo juu, lazima upate register of member, utaona mo yupo na kina nani. Ni hayo tu
  6. billionaire17

    Sheria ya makampuni inaruhusu mmiliki mmoja (share holder) ?

    Marekebisho hayo hayapo enforced. Kwa hiyo stand ni kuwa mtu mmoja hawezi kuanzisha kampuni
  7. billionaire17

    Sheria ya makampuni inaruhusu mmiliki mmoja (share holder) ?

    Kampuni yoyote haiwezi kuwa na shareholder mmoja lazima waanzie wawili, private company wasizidi 50, na public haina mipaka. Mtoto hana capacity ya kuingia kwenye mkataba Kuwa shareholder ni jambo la kimkataba. Ila kupitia kwa next friend anaweza kuingia kwenye mkataba endapo tu mkataba ni kwa...
  8. billionaire17

    Msaada: Naomba kufahamishwa namna ya kuomba kazi kupitia 'Ajira Portal'

    Pia naomba kuuliza, kwa mujibu wa maelezo yaliyopo kwenye web yao vyeti vinatakiwa viwe certified kabla ya kuviscan, lakini kwenye ule muongozo walioutoa namna ya kujaza taarifa kwa njia ya portal wanasema vyeti origional, wapo waliocertify na hawakuitwa kwenye usaili, pia wapo walio upload...
  9. billionaire17

    Wanasheria JF tunatia aibu

    Kwa kifupi ni kwamba. Amuone wakili aliyekaribu. Kumshauri mtu lazima kuna vitu uvipate kutoka kwake, huku mtandaoni mtu anatoa story kuna vitu vinakosekana, lakini akiwa na wakili ni rahisi kupata majibu sahihi kutoka kwa mteja na ndipo atoe ushauri sahihi. Otherwise kumsikiliza mteja nusu...
  10. billionaire17

    Wanasheria JF tunatia aibu

    Mawakili tupo busy sana na kazi za wateja, kama anataka ushauri aende ofisi yeyote ya mawakili atasaidiwa, huku mitandaoni huwezi kutoa ushauri maana kuna facts anakua amezificha hivyo ni ngumu kumshauri. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. billionaire17

    Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Mimi nafanya bussiness hiyo kwa zaidi ya miaka minne sasa, offer nakusafirishia free mpaka ubungo. Nauza kiasi chochote utakacho, na nina aina tano za dagaa zote kutoka mwanza, sample zipo ukitaka. Karibu PM
  12. billionaire17

    Naomba mwongozo wa kisheria

    Kisheria hapo utamlipa kwani makubaliano ya mdomo pia ni mkataba Kama ana mashahidi wa kudhibitisha hilo. Ila suala la riba hakuna sheria inamruhusu mtu kukopesha kwa riba kama siyo taasisi ya kifedha, hivyo mahakama itakuamuru umlipe kile ulichokopa tu, bila riba.
  13. billionaire17

    Mtoto amshitaki babake akimdai urithi wa babu yake

    Kama babu aliishi maisha ya kiislam, kikristo au kijamii, niwazi kuwa huyo mtoto ana haki ya huo urithi wa sehemu ya nyumba. Kama babu alikufa bila wosia basi sehemu ya haki "by way of transmission" ilirithishwa kwa baba mtu, then baba mtu alipokufa kama hakuacha wosia ile sehemu ya haki "by way...
  14. billionaire17

    Tulioonewa na kufungwa na serikali

    Miaka miwili iliyopita yalinipata haya kwa sababu ya kusupport UKAWA. Sikuwahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha kisiasa ila niliamini katika MABADILIKO YA UKAWA Nilijitahidi sana kuwaelimisha watu juu ya uhitaji wa mabadiliko Pasipo kuvunja sheria. Kilichotokea siku moja usiku...
  15. billionaire17

    Msaada wa ki-sheria.

    Mahakama haisikilizi maneno matupu, unaweza kuidhibitishia mahakama kuwa wewe binafsi umedhirika vipi?
Back
Top Bottom