Risk vs Return
Senior Member
- Apr 23, 2012
- 106
- 71
Naomba ushauri ,
1. je sheria ya makampuni inaweza kuruhusu umiliki wa kampuni ukabaki wa mtu mmoja ? yaani mwanzo walikuwa wengi lakini kadri siku zilivyooenda wanajitoa na kubaki mmoja tu
2. Unaweza kufungua kampuni yenye share holder mmoja pekee ?
3. Je mtoto mdogo (minor) anaruhusiwa kuchukua nafasi ya pili kwenye umiliki wakati wa kufungua ? au hata waliobaki baada ya wengine kujitoa , mtoto anaweza kuwa moja wapo wa wamiliki wawilw waliobaki ?