Recent content by BIKO.COM

  1. B

    JamiiForums Tanzania ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Huu wimbo nimeutafuta toka 2005 mpaka leo sijaupata. vipi ntaupataje?!
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

    Ni kweeeli kabsa make wao wanataka wawe wapokeaji tu. Kwa hiyo hawa viumbe Ni wakutazama. Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu anajamba sana akiwa usingizini

    Jaaaaaman Kuna Mambo yanajitokeza na sio kwa hiyarii yake... Kikubwa mvumilie tu.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

    Kuna pafyumu za kiarabu Kama mukharat ziko vizr
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakaka mna nini lakini?

    Hahahahahaha hawa wanawake nadhani mwalimu wao ni mmoja..mie yupo mmoja alinkopesha elf 50..ulpokua unatpkea ktoelewana kidogo alikua anakimbilia kusema"Nipe hela yangu nilokupa". $hikamoo wanawake.
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupewa hela na wanawake

    Mmmmnh wenyewe mabomuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Hahahaha nmecheka mpaka kifua kinauma. Kwa hiyo mkuu ulivyofuatilia siku nyingine baiskeli na mayai ikawaje???....na manka mwsho wenu ilikua upi?? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki wa kike anakopeshwa pesa?

    Uwe makini mkuu ucjepoteza vyote viwili yaan urafiki na pesa. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mjomba wangu sitakusahau

    Hahahahaha ndo kusema korona ishampanda kwenye medula. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno makali ya kukatisha tamaa ulioambiwa ulipomtongoza

    Kuna Dada mmoja nlimpenda Sana tena sana . Akawa ananambia kwa anavyonipenda Mimi ni Wa pili akitoka mama yake (coz aliishi na mama yake baba ake alifariki kitambo) . Sa Siku moja nikatia tongozo ili nijilithishe kuwa ananpenda lakn alchonijibu alinambia kuwa "UKO KWENYE FOLENI". Nikamuuliza...
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sioni mwanamke wa kuoa

    Aiseee mwenyewee nakutana na changamoto zinazofanana Kama zako....au yule nnayemuona mi wife material nakuta achakuaoccupied tayari...du n hatar xnaa!! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara ya kuuza screen protector

    Nawezapata namba yako mkuu .
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walokole sijui mnakwama wapi?

    Poapoaa karibuuu xnaaa. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walokole sijui mnakwama wapi?

    Taarifa yako inatosha kuitwa chai. Kwann ucngetaja hvyo visa ili tupate cha kkshaur. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom