Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,721
Hela ya mwanamke ntakula sana tu wima bila kunawa, mwanzo mwisho, tena wakati wa mapenzi moto moto! ndiyo kabisaaa! shikilia hapohapo! !!! wana JF waoga sana nyie! hamfai hata kwenye uwanja wa mapambano! eti atakudai??? akadai salama! huko anakojua na simuwachi kama ni mtamu!
Nikipata hela ya matumizi nampa nikikosa na yeye ana kosa, akiamua kusepa kwa sababu nimekosa ni yeye, hainihusu! atajua lkn siyo kwa ridhaa yangu! Vijana mnaogopa kitu kidooogo kisicho na meno ya kung'ata?
Police hakupeleki, hata akikupeleka kubali kuwa ulichukua na yeye alichukua zako! ngoma draw! wote humu ndani siyo wapiganaji wa mapenzi! ataamua yeye kubaki au kusepa!