Ushauri: Biashara ya kuuza screen protector

Jabu Fredrich

Member
Sep 13, 2017
46
36
Habarini wana_JF,

Nataka kufanya biashara ya kuuza screen protector za simu na cover za aina mbalimbali ila nahitaji kujua.

Kama kuna yeyote anafanya hiyo kitu anipe uzoefu pia kama kuna muuzaji wa jumla anaweza kuwasiliana nami(pm) ili niwe nachukulia mzigo kwake.

Ahsanteni.
 

jombi95

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
1,380
2,071
Kkoo kuna maduka bei zao ni kama upo China....Haya maduka ya nje (face road) nayaonaga kama yanauza rejareja....Kkoo ujue machimbo tu hata Nairobi nimeghair
Mkuu tuelekeze Machimbo hayo basii. .
Me nataka Moderm na Flash ..vipii kwenye Machimbo yako vinapatikna kwa bei gani hivi ya jumla. .??
 

cleverr

Senior Member
Mar 3, 2020
125
115
Kwa anaejua bei za jumla za phone accessories hasa screen protector, earphones aina zote, chargers, betri aina zote, makava ya sim hasa smartphone nk
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom