Rafiki wa kike anakopeshwa pesa?

Rafiki wa kike anakopeshwa pesa?

Swali la muhimu ni je anaweza kudaiwa ? Shida sio kutoa wala kupokea bali kurudisha au kudai..

Kukopa Harusi kulipa Matanga....
 
Uzi nimeuelewa
Acha ufala bwana mdogo. Umsaidie sio umkopeshe.Ni wajinga sana kumkopa.Hawarudushi ni kutafuta lawama tu.

Siwezi kumkopesha msichana hela,kama kaomba nyingi sitampa ila zikiwa kidogo nampa.

Kuna fala alilia akiomba nimkopeshe nikamuuliza utanilipaje wakati huna shughuli yoyote,kajiumauma kumbe ananitegea na nyama yake nyekundu!!!Nikasepa kimoja.

Usiwe boya wewe, kwa hiyo hela unaweza piga manzi 3 za nguvu!!!

TUSIPOTOSHANE!!!Za kuambiwa changanya na zako.

Tahadhari,Corona inauwa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom