Recent content by biggirl

  1. biggirl

    Umejifunza nini kutoka kwao?

    Siku moja, baba tajirialienda na mtoto wake safari. Alitaka kumuonyesha ni jinsi gani mtu anawezakuwa masikini sana wa mali. Walifikia shamba moja la familia ya kimasikini. Safarinikurudi nyumbani, baba akamuuliza kijana wake, "Umeona ni jinsi gani walivyomasikini? Umejifunza kitu gani?". Kijana...
  2. biggirl

    Umejifunza nini kutoka kwao?

    Siku moja, baba tajiri alienda na mtoto wake safari kijijini. Alitaka kumuonyesha ni jinsi gani mtu anaweza kuwa masikini sana wa mali. Walifikia shamba moja la familia ya kimasikini. Safarini kurudi nyumbani mjini, baba akamuuliza kijana wake, "Umeona ni jinsi gani walivyomasikini? Umejifunza...
  3. biggirl

    Msaada tutani

    wa kumuuliza ni mkeo kwani haimfurahishi?msikilize yeye
  4. biggirl

    Malipo ni hapahapa duniani sasa mji mchungu kwa huyu dada

    Inakuwaje mtu mzima akamatwe yanini kumzuia safari zake? au ni beki 3? sijaelewa
  5. biggirl

    Naomba msasda; Ndoa inanimaliza

    Kizungu-zungu potelea mbali na povu likutoke ila mi sijaelewa!!! Halafu mnaweka post eti she cant even write her name !!!!hii nayo tusemeje?????
  6. biggirl

    She can't even text a well written and easily understood sms..gosh!!

    siku hizi kuna swaga kaka,sisi tunasema school..wao xcul!
  7. biggirl

    Epukana na mahusiano ya namna hii niwapigaji hatari...............

    The Pastors Tel. number is (+221 771-479-538), huyo ndio jambazi mkubwa,kwanini asimsaidie kutoa hizo hela,eti I like honest and understanding people, truthful and a man of vision, hardworking and GOD fearing people. kwanini asianze kuamini hao awaonao kwa macho???yaleyale natafuta mchumba...
  8. biggirl

    Sio rahisi lakini inawezekana

    Habarini wadau...Daah nimejikuta moyo wangu mzito sana asubuhi ya leo 1.Wasiwasi unaoletwa na maisha haya ya kila siku .Mume hatulii,malezi ya watoto mabek tatu hawaeleweki,migogoro ya ndoa namikasa inayokuta watu kila kukicha.. Haya yote yananinyima raha,natamani kila mwanamama afikie wakati...
  9. biggirl

    kwa wakubwa wenzangu walio kwenye relation!

    Mhhh unamkuta mtu wako na pkt ya zana 3pc ila 1 imemis unamuuliza hii kitu kwenye gari inafanya nini?anajiumauma...unaanza kugomba kuwa majuzi tuu umeniambia kuwa hutodanganya tena utakuwa baba mzuri kwa mtoto wetu na utakuwa mwaminifu kwangu..kumbe ni uongo tuuu... Yy kimya....unademand upate...
  10. biggirl

    akina dada taratibuni

    Mtz kaaah pole mbona huo ni udi nimejifukiza sio perfume basi kesho sijifukizii tena looo watu mna gubu ndo unakuja hadi huku si ungeniambia tu kimyakimya?
  11. biggirl

    demu wa brother angu anataka nile vya kaka, this weekend...should i escape?

    MSATULAMBALI...Mi nakupenda sana ujue tangu nikuone kwa kakaako sema tu niliogopa kwakuwa sa hizi yupo job please say yes to me ...mi kaka ko hata hajawahi niona so shaka ondoa...yaaan nakupenda hadi nahisi kudata pls dont say no...im half cast..i will pay for the hotel room
  12. biggirl

    namwachia house girl nyumba nimechoka

    haaa ahaaaaaaaaaa haaaaaa naye ni mwanamke dada anacho kama chako sasa kazi kwako uendako.....
  13. biggirl

    Ukiuona utupu wa ajuza utalaanika?

    eeeeee makubwa jamani mmmh ina maana mtoto mkubwa alishindwa kumshauri mamaye kwani hajui mtu akizeeka anakuwa ka mtoto ?
  14. biggirl

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    Elisha Ray :so far i believe every creature it starts frmheaven so do you.... thanks nwy Ahhhgrrrrrr...sasa Mc Tilly Chizenga....alimchukulia kuwaalimuuliwa au alimmegea tu ?ila nasisi tumepata faida ya kujua siri zao pengineilipangwa tuu iwe hivyo
Back
Top Bottom