kwa wakubwa wenzangu walio kwenye relation!

biggirl

Member
May 25, 2012
66
12
Mhhh unamkuta mtu wako na pkt ya zana 3pc ila 1 imemis unamuuliza hii kitu kwenye gari inafanya nini?anajiumauma...unaanza kugomba kuwa majuzi tuu umeniambia kuwa hutodanganya tena utakuwa baba mzuri kwa mtoto wetu na utakuwa mwaminifu kwangu..kumbe ni uongo tuuu...
Yy kimya....unademand upate maelezo kuwa kaitumia na nani ..anakuuliza je utaweza kuhandle?...ww ..ndio ntaweza na unataka awe mkweli kwako...
mwishowe anakuambia ...wewe ni mwanamke wangu nakupenda sana wewe ni mama wa mtoto wangu na u gona be my wife...yes i made love to you i wana be with you.. but i freak other girls frm time to time at least im honest with you ..sijui ni kwa nini ila najikuta hivyo ......mwishowe unalalama ...wewe hunipendi ...yeye anasema mimi nakupenda ndio maana sitaki kuumiza hisia zako...

swali je huko ndio kupenda?
Haya sasa ukweli ndio huo ushaambiwa hivi kuna haja gani ya kumchimba mtu wako kwanini usipotezee tu ?
 
pole, kuuchuna kama hujaizona zile zana isee ngumu sana, unakomaa tu na bit wakati moyoni unajua hapa simuachi wala nini
 
Mie kwaupande wangu akishanambia hayo mpaka hapo nishakijua cheo changu kwake sasa kinachofata nikumalizana nae nakujipanga sio rahisi kwa mwanamke mwenye akili zake timamu na usawa wenyewe huu wamanati akaaaa! isiwetabu hata kama nampenda naiwe basi...
 
if ur honest to your gal or boy/husband/wife.u cant do that.na gals its so hard to handle such kind of things.
 
daah bora niishie tu kuhisi lakini nisipate ushahidi...kwakweli ningumu kumeza
 
binafsi mm nisingemvumilia hata kidogo pili hii ishu aiweke kwa upande wa pili je ataweza kuivumilia? kama kweli unampena mtu sidhani kama unaweza kuwa kauzu zaidi ya dagaa kiasi hicho hapo ni bdada aamue kuingia ndani wakati anajua mr ni bonge la kicheche na hawezi kuacha hiyo tabia
 
Dah huyo jamaa naye sasa anatuaibisha wanaume,ila msamahe kwani inaonyesha anakupenda ila shetani ndio anyemuharibia,kamdanda kwenye kiuno hampi chance ya kupumua,if you are a christian?moslem muombee kwa Mungu ili huyo shetani amuachie.:sick:
 
hapo hamna kupendana...kama kwa sasa anakufanyia hayo akikuoa itakuwaje??? jiandae kwa magonjwa kwani kondom huzuia maambukizi kama ikitumiwa vizuri. Kama anakupenda wewe anapaswa kuwa na wewe, kukuheshimu, kukujali... Ushauri: mfanyie kituko chochote ambacho yeye atagundua na wewe unampenda ila ulitembea na mwanaume mwingine... utapata jibu.
 
Unless mapenzi yanamaana nyingine..............ila hapo hakuna mapenzi kabisa.
 
wanawake mna kazi....
Hamjoana unakutana ma condoms...
Mkioana atakuletea mahawara nyumbani....
 
dah! jamaa ni mzembe sana...si kila ukweli unafaa kuambiwa na mtu
 
Kwani kakuoa? Akisha kukuoa hapo utaweza kujihakikishia maana yawezekana pia huyo aliyetembea naye ni mpenzi wake wa muda mrefu kama ulivyo wewe.
 
Naona hii hainihusu kwani huu unaoongelea ni uzinzi. Mimi nipo kwenye ndoa halali.
 
Jamaa amesahau usia wa Mzee wa mike Shaggy ..hata kama angemkuta nae live, angesema wasn't me!Lakini nampa Big up Mshikaji kwani anajali sana kwa kuvaa buti..Next pole shem hayo ndio maisha ya mapenzi kuna temptation nyingi sana. Jipange sawasawa!
 
ni ngumu sana kumeza hii.... hali ikifikia hapo, unapaswa kuchagua moja: either usuke au unyoe
 
Pole lakini wewe kama unampenda why usifumbe macho? ujifanye hujaona, pili, msela kwa nini asiseme alikuwa anatoa semina ya ukimwi? so zile nilibaki kwenye chombo? alitakiwa pia awe na lile liboo la mti..wazee kataeni sema ulikuwa unatoa lecture ya ukimwi tu, hata ukikutwa live unanyamaza kidogo, baadae unasema sio mimi tu..kisha acha tabia hii maana watoto watateseka mno ukifa na ukimwi. ila bora yake ametumia chadema yaani cdm:laugh:
 
Back
Top Bottom