Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tutani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NARE, Jun 12, 2012.

  1. N

    NARE Member

    #1
    Jun 12, 2012
    Joined: Apr 5, 2012
    Messages: 36
    Likes Received: 2
    Trophy Points: 0
    Jamani naombeni ushauri kuhusu hii ki2 yangu imepinda kama ndizi hv wakt imesimama sasa sijui naweza kwenda kufanya opereshen niinyoshe.......maana kwakweli mimi sifurahish jinsi ilivyopinda.............
     
  2. biggirl

    biggirl Member

    #2
    Jun 12, 2012
    Joined: May 25, 2012
    Messages: 66
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    wa kumuuliza ni mkeo kwani haimfurahishi?msikilize yeye
     
  3. Nivea

    Nivea JF-Expert Member

    #3
    Jun 12, 2012
    Joined: May 21, 2012
    Messages: 7,442
    Likes Received: 57
    Trophy Points: 145
    muulize mhusika wewe hiyo ndo raha sasa iliyoonyoka kwa upande wangu sio nzuri
     
  4. ndetia

    ndetia JF-Expert Member

    #4
    Jun 12, 2012
    Joined: Jun 9, 2012
    Messages: 334
    Likes Received: 195
    Trophy Points: 60
    wee iache tu nguvu zikianza kupungua itayooka.... ucje kulalamika tu....maana itakuwa haiwez kukpiga mzigo
     
  5. N

    Ngekewa JF-Expert Member

    #5
    Jun 12, 2012
    Joined: Jul 8, 2008
    Messages: 7,730
    Likes Received: 18
    Trophy Points: 135
    Unajuwa Wasichana kila siku zikienda wanapenda fesheni mpya? Tulia tu itajitangaza wenyewe hiyo ili uzidi kuburudika.
     
  6. Preta

    Preta JF-Expert Member

    #6
    Jun 12, 2012
    Joined: Nov 28, 2009
    Messages: 23,948
    Likes Received: 2,498
    Trophy Points: 280
    njoo nikutibu....mimi ni daktari bingwa wa magonjwa hayo....
     
  7. BADILI TABIA

    BADILI TABIA JF-Expert Member

    #7
    Jun 12, 2012
    Joined: Jun 13, 2011
    Messages: 28,715
    Likes Received: 3,600
    Trophy Points: 280
    kaweke 'hoggo' itanyooka
     
  8. Kimbweka

    Kimbweka JF-Expert Member

    #8
    Jun 12, 2012
    Joined: Jul 16, 2009
    Messages: 8,611
    Likes Received: 34
    Trophy Points: 145
    Na mie nnao njoo untibu....
     
Loading...