Ukiuona utupu wa ajuza utalaanika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukiuona utupu wa ajuza utalaanika?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rutashubanyuma, Jun 1, 2012.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  Kenya kuna mambo. Huyu ajuza kachoshwa na kupigwa kalenda na mpangaji wake ambaye anadai au kusingizia matatizo ya kifamilia yamemfanya kushindwa kulipia kodi ya pango.

  Ajuza alipoona miezi inakatika na kodi hailipwi basi akaja na staili nyingine ya kwenda kwa mdaiwa wake sugu akiwa uchi wa kuzaliwa huku akisindikizwa na binti yake mkubwa na wakamgongea mlango mdaiwa wao.

  Huku matusi mazito yakiwatoka walidai afungue auone uchi wa ajuza kama hatapata laana na kufa kiroho cha papo kwa hapo. Mdaiwa kusikia hivyo aliongeza komeo na kujifungia ndani.

  Umati wa watu ulianza kujikusanya na kutaka kujua kuna nini............................mtoto wa kiume wa yule ajuza alipoona mama'ake anamtia aibu akaamua kumtishia mama'ake ya kuwa kama hatavaa nguo basi atabana mlango na kumshughulikia mama'ake papo kwa hapo bila ya kumwonea soooo hata chembe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  Yaelekea yule ajuza anajua makali ya mwanawe kwani alikimbilia ndani na kuvaa nguo zake huku akiwaacha watazamaji wa filamu ya bwerere mbavu zikiwa hoi kutokana na burudani ya laivu............au niseme ya papo kwa hapo.....

  Kwa wanaujua umombo kazi kwenu.........

  Crazy Monday


  Angry grandma undresses to ‘curse' tenant  Updated Sunday, May 27 2012 at 21:00 GMT+3
   
 2. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Hii kali
   
 3. biggirl

  biggirl Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: May 25, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  eeeeee makubwa jamani mmmh ina maana mtoto mkubwa alishindwa kumshauri mamaye kwani hajui mtu akizeeka anakuwa ka mtoto ?
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  [MENTION]mtoto Pole[/MENTION] Malezi ya watoto ndiyo huamua atakuaje.................unapoona watoto wanafanya vituko tena wanazaidi ya miaka 50 ujue malezi yalkuwa na mgogoro mkubwa....kama mtoto wa kiume anamtishia mama yake kumdu ujue ipo shughuli pale........
   
 5. Kyaiyembe

  Kyaiyembe JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu Kenya kuna mambo kweli kweli!.
  Sasa kuhusu swali lako jibu liko wazi yakuwa ni HAPANA haulaaniwi,
  labda kama mwonyesha uchi amekulenga wewe mwonaji, maana kama ni kuona tu ikawa laana basi wale wote walioshuhudia hile live show walilaaniwa!
  Alafu huyu mama asifikri kuwa ana binti, kama ni mtoto anaye mmoja tu wakiume japo naye sijui alitaka kumshughulikia kivipi! yawezekana ana hasara kotekote.
  Nina maana kuanzia wapangaji, majirani hadi watoto wake!.
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  biggirl watoto hao kwisha khabari yao.........wakike anamshangilia mama'ke..........wakiume anamkataza maama'ake kwa kumtishia kumbaka...........................ni makubwa kabisa haya.......
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280

  Kyaiyembe hata mtoto wa kiume anayemtishia kumbaka mama'ake naye ana malezi bomu............
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,680
  Trophy Points: 280
  Walilipwa?Au the plan din't work?
   
 9. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Nafikiri hii ya kutishia utupu, Kenya imekuwa kama ni order of the time.
   
 10. Kyaiyembe

  Kyaiyembe JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kudadadeki umemsikia kijana alivyomwambia mama yake? Mkuu Ruta uliipunguza utamu wake!
  {"So this is what you come to show me yet you know l started these things long ago? Let me show you what an expert l have become!" her son threatened, making for the door as if to close it.}
   
 11. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,136
  Likes Received: 6,630
  Trophy Points: 280
  Hiyo ipo kule kwetu hasa sehemu za mpakani na kenya
  wanaita 'nguma' anavua au anapandisha kabisa nguo zote kisha anakuinamia
  bila shaka ni imani, lakini ni laana kama imefanyika bila maoneze.
   
 12. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  thanks kwa news nimefungua hiyo site na nimeweza kuona live KTN tv walau from kenya
  tv za kwetu kwishney
  KTN :: KTN Live
   
 13. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,136
  Likes Received: 6,630
  Trophy Points: 280
  kijana alikuwa na maana ya kumpiga
  sizani kama ni ulivyoelewa mkuu.

   
 14. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  omg! this granny and her son need to see a shrink asap.. stripping nude does NOT solve anything...
  Im glad Im not related to them, it's total humiliation..


  she is an attention wh0re
   
 15. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Tufiakwa!!! Abomination!
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Hata kuko nitokako hii dhana ipo.
  Mzazi akikuvulia nguo ni laana.

  Kama ni kweli au si kweli inafanya kazi sijui, ila siwezi jiweka mazingira ya mzazi kufikiria kunifanyia hivi.
   
 17. Kyaiyembe

  Kyaiyembe JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Huko sawa mkuu lakini nakushauri uwalee watoto wako kama ulivyolelewa!,
  nina maana kuwa miaka ka 20 na zaidi iliyopita ilikuwa ni vigumu kumkuta mzazi akimtukana mwanae kwa kutumia viungo vyake vya siri au vya mzazi mwenzie.
  Lakini siku hizi mzazi kumtukania uchi (hasa wamama) mwanae ni kitu cha kawaida, hata wasiwasi kuwa hiki nilichomtukania mtoto atatakajua ni kitu gani hatuna tena.
  Huwezi kuzuia kujua lakini U-privacy uwepo ili kujenga heshima.
  Kwa ujumla mtoto umleavyo ndivyo akuavyo aliyezoea kusikia uchi uchi! hataogopa kuuona au siyo!.
   
 18. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hii kenya wazee wamekuwa nì vituko mara huyu kuvua kwa ajili ya kudai kodi,mwingine anataka kupigwa mtama na vijana ama kweli dunia imekalibia kufika mwisho.

  :->ALWAYS A BIG LIAR SHOULD HAVE A BIG MEMORY:-"
   
 19. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kumbe hii staili ya kupeana laana bado inatumika-huyo mama naona anafaham kichwa ya mwanae wa kiume ndo mana kafwata amri
   
 20. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  mkurugenzi, hii rangi inaumiza kusoma....   
Loading...