Umejifunza nini kutoka kwao?

biggirl

Member
May 25, 2012
66
12





302928_245079838876858_529339820_n.jpg


Siku moja, baba tajiri alienda na mtoto wake safari kijijini. Alitaka kumuonyesha ni jinsi gani mtu anaweza kuwa masikini sana wa mali. Walifikia shamba moja la familia ya kimasikini. Safarini kurudi nyumbani mjini, baba akamuuliza kijana wake, "Umeona ni jinsi gani walivyomasikini? Umejifunza kitu gani?".

Kijana akasema, "Tuko na mbwa mmoja, waowana wanne, tuna bwawa la kuogelea(swimming pool), wao wana mito(river's), Tunawasha mataa mengiusiku, ,wao wana nyota/mwezi angani, tunanunua vyakula,wao wanapanda na kuvuna shambanimwao, tuna uzio wa kutulinda, wako na majirani karibu zaidi, tunazoencyclopedias, wanasoma biblia." Kwahiyo wametuzidi sana, "Thanks dadfor showing me how poor we are."

MORAL LESSON: It's not about money that makeus rich, it's about simplicity of having God in our lives.♥wewe una mtazamo gani?
 
Mimi hao jamaa sioni kama ni maskini maybe kwavile wanakaa shamba. Kujifunza umasikini sio kwa kufanya ziara you have to live like one!
 
Jinsi umasikini usivyokubalika!
Si mtoto wala baba walioamuwa kuishi umasikini baada ya kujifunza!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom