biggirl
Member
- May 25, 2012
- 66
- 12
Habarini wadau...Daah nimejikuta moyo wangu mzito sana asubuhi ya leo
1.Wasiwasi unaoletwa na maisha haya ya kila siku .Mume hatulii,malezi ya watoto mabek tatu hawaeleweki,migogoro ya ndoa namikasa inayokuta watu kila kukicha..
Haya yote yananinyima raha,natamani kila mwanamama afikie wakati awe jasiri kuchukua maamuzi magumu...ie aweze kulea watoto wake mwenyewe bila kuzinguana na baba yao,kila mtu aishi raha mstarehe,kwani nani aliumbwa ili aishi kwenye tabu jamani?
Sipendi kuona mtu anasononeka kisa ndoa..mwenzangu kanikosea..kanikosesha ...what for?heshimianeni /pendaneni ...Inaniuma sana