namwachia house girl nyumba nimechoka

Na wasiwasi ananiibia mume bora nimuachie kabisa.
Nimepewa ujumbe niwaletee!

huyo rafikiyo ni mjinga kwani hajui wajibu wake katika ndoa?yeye ndiye mlinzi wa mume wake,kwa nini hajiamini?inaonekana yeye ndiye chazo
 
Mnaleta siasa kwenye maisha! Mwachie nyumba hg uone! Na kila mara utawakimbia tu maana inaonekana una weakness flani ndo maana unakimbia. Dawa ya tatizo sio kukimbia ni kutafuta jinsi ya kukabiliana nalo. Kuwa jasiri na tafuta ni wapi unapokosea rekebisha na anza upya.
 
sijawahi kusikia kitu kama hichi yaani ww unamuachia hgirl mumeo?hongera yawezekana umemchoka ulikuwa unamtafutia sababu kwa akili za kawaida uko kwenye ile % 0 ya wanawake walioko kwenye ndoa wenye maamuzi kama yako
 
Mkumbushe huyo alokutuma kuwa Mwanamke Mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Wasiwasi tu umfanye amuachie nyumba mwanamke mwenzie??

Asituchoshe akili hapa akha!

mbona umeongea na hasira hivyo...beki 3 walishakutendea nini??
 
Hii kali hg kumpindua mwenye unyumba? Mimi kama mwanaume nilieoa naamin huyo mke kuna ujinga ameutenda hadi kufikia hg wake kuchukua credit kwa baba mwenye nyumba labda uvivu wa kumwandalia mzee mfn chakula maji ya kuoga kupika hata usafi wa chumbani mwao.Au hg wake ni mtundu kupindukia na mzee kalitambua hilo kujaribu ndo kabisaa kapotezwa na utundu na manjonjo ya hg wake.
 
MwanajamiiOne mwambie huyo bibie aniajiri mimi niwe housegirl wake ndipo afungashe vilago vyake. Mwanamke nyambafu huyu na hakufunzwa kulea mume.
 
Last edited by a moderator:
Huyu mwanamke amekariri kuwa ukikuta manyoa basi ameliwa, inawezekana manyoya yalipunyuka wakati anajinasua kukimbia, pia huyu mwanamke hajui majukumu yake ndomana hg ameamua kumsaidia. Achape lapa aende zake.
 
Na wasiwasi ananiibia mume bora nimuachie kabisa.
Nimepewa ujumbe niwaletee!

Mawili naweza yuaokota katika uzi wako, ulikuwa unatafuata sababu ya kumuacha mumeo sasa umeipata, au hujaijua nafasi yako barabara katika ndoa.
 
Hana lolote huyo, labda kapata mwanamme nje.. Eti ukimbie nyumba sababu ya beki 3.. Lol.
 
haaa ahaaaaaaaaaa haaaaaa naye ni mwanamke dada anacho kama chako sasa kazi kwako uendako.....
 
mwambie huyo mwenzako atulize kichwa yani akimbie nyumba kisa h/girl si amfukuze.
 
waowaji wenyewe siku hizi wako wapi?sema ukweli kuna mengine hili halinitoshi loly
 
Na wasiwasi ananiibia mume bora nimuachie kabisa.
Nimepewa ujumbe niwaletee!

Mh huyu kapata bwana mwingine tu hakuna kitu hapa hg akutoe kwako una akili timamu kweli?
 
Back
Top Bottom