Naomba msasda; Ndoa inanimaliza

Yaani siamini gfsonwin, tupo wote, barabara ya 18, unanichenga? Jana umetokomea wapi my dear baada ya kuniachapo hoi barabarani? hii kesi hata Kongosho haamui hii
kaaizer mimi nikuachepo weye barabarani insi nilivyokudondokea? me love you sana tu ma dear. hata hivyo msosi karibu jongea kwa meza basi upate kueka chochote tumboni. njaua kazi ya jana ilikuwa ngumu sana hadi umechelewa kuamka Asprin alipiga simu akikuulizia nimemwambia bado umelala umechoka ma ma orgasm ya jana.
 
Last edited by a moderator:
hakika ni kweli unahitaji msaada!mara ulifiwa na mke umechanganyikiwa,mara una mke umechanganyikiwa!
 
Huyo mkwe mkwepe kabisaa! Manake ukikutana nae atajua mwanae kaopoa bomu, siku ukichemsha tena na kukaa na nguo za kike ndani zisizo za mkewe atalazimisha muachane under medical grounds (insanity inahusika hapa).

:biggrin1:
 
hizi elimu za ulaya kweli sio valid kwa nchi yetu!huo sasa ndio uandishi gani?ueleweki hata kdg
 
Kizungu-zungu potelea mbali na povu likutoke ila mi sijaelewa!!! Halafu mnaweka post eti she cant even write her name !!!!hii nayo tusemeje?????
 
inabidi aombewe, si wote wanaopiga kelele wanapepo, wengine wana pepo bubu
 
Back
Top Bottom