akina dada taratibuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

akina dada taratibuni

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mtanzania in exile, Jun 6, 2012.

 1. mtanzania in exile

  mtanzania in exile JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 245
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  kujipilizia perfume tele ni karaha hata kama perfume nzuri na bei kali. Perfume inatakiwa iwe wastani ili walio karibu nao wapendezwe na mnukio wako na wapende kuendelea kuvuta pumzi na sio kufika hata kuwa karaha kwa walio karibu nao. Kuna watu wanajimwagia perfume yaani mtu akiwa chumba cha tatu ofisi unaisikia harufu yake, aiiiiiiii inaudhi.
   
 2. biggirl

  biggirl Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: May 25, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtz kaaah pole mbona huo ni udi nimejifukiza sio perfume basi kesho sijifukizii tena looo watu mna gubu ndo unakuja hadi huku si ungeniambia tu kimyakimya?
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  wakinuka vikwapa mtawasema
  wakijipulizia unyunyu mnawasema.....
  Loh
  kweli uanamke kazi.....
   
 4. mtanzania in exile

  mtanzania in exile JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 245
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Too much perfume ndio ninayoiongelea hapa. Na perfume sio solution ya kunuka kikwapa!!!!
   
 5. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Sababu sio kaitia nyingi kuna perfume nyengine zina kua na harufu kali,na wengine hawajui ipi ya summer wala ipi ya winter wanasukuma tuu.
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  sikuwa najua kuwa perfume sio solution ya kunuka kikwapa...... Wasipopaka wananukia?
   
 7. mtanzania in exile

  mtanzania in exile JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 245
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  perfume inasaidia tu kupunguza harufu ya kikwapa sio solution (tatuzi), kama hujui solution ya kikwapa iliza wenzio au jaribu kukoga kwa kutumia sabuni ya chokaa
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  kumbe solution unayo kwa nini usiongee na hao wadada wa hapo ofisini? Elimu yako utakayowapa itawasaidia wao na kukusaidia wewe kuondokana na kero ya perfume kali.....
  Itasaidia ukiwapatia na sabuni za chokaa hata mbili mbili kwa kuanzia....
   
 9. sanawari

  sanawari Member

  #9
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bado wana zile enzi za cobra body spray teh teh....
   
 10. S

  Starn JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Bola umesema
   
Loading...