Recent content by Bigcat

  1. B

    JamiiForums Tanzania Simulizi za 116: Dora anusurika na ndoa ya utotoni

    Ok Nn Wazazi wafanye kwa Bint yao huyu?! Je!Wamuache aendelee kuharibika zaidi...?!!!!!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nimeshakata tamaa ya maisha nimepanga kujiua ( mawazo yangu ni kujiua 100%)

    anaetaka kujiua ameandika uzi Hhhhhhhhh Bro acha utani na maisha Ikiwa ww ni Mwanaume,pambana Tokea zamani Mwanaume yake ni mateso
  3. B

    JamiiForums Tanzania Je watu watanifikiriaje?

    Bila ya kuficha Mm ni mmoja wapo katka walioathirika na neno hili
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ni upuuzi uliokithiri kuharibu sura ya Tanzania kimataifa kwa lengo la kumkomoa Rais Magufuli

    Bro umenena na kumaliza Ila kuna wapuuzi hawatakuelewa kbs Mahasidi wa nchi na nafsi zao
  5. B

    JamiiForums Tanzania Floyd Mayweather ampiku Muhammad Ally

    acha utani ndani ya Sikukuu kijana
  6. B

    JamiiForums Tanzania Simulizi za 116: Dora anusurika na ndoa ya utotoni

    Je!Bint akiwa kiruka njia,na hana habari ya kusoma Wazazi wakiamua kumuozesha,kutakuwa na tatizo kisheria?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Viwanja vilivyopimwa kwa mkopo wa miezi 12

    asante mkuu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nauza Kuku wa kienyeji kutoka Singida

    Ukifanya biashara na kuitangaza Jf ni lazima uwe na roho ya shubiri Maaana...... Chief Kuwa na subira Mola akufanyie wepesi katika biashara yako
  9. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mzungu au mwarabu ana jina la kiafrika?

    Jina lina athari fulani kwa mhusika Ikiwa jina linabeba maana nzuri na ya kupendeza,basi hakuna neno kutumika Ila watu wengi sana,wanatumia majina,bila kujua maana na makusudio Hili si jema Hakuna ubaya kutumia majina ya asili,ikiwa ni mazuri kimaana,kadhalika majina ya kigeni
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mke mpe upendo, mama mpe heshima

    Huwezi kutenganisha upendo na heshima Upendo na Heshima kwa Mama ni Maalum Kadhalika Mke,anastahili Upendo na Heshima kama Mke Ila Upendo wa Mama na Heshima upo Juu zaidi Mama ni sawa na Jua katika Dunia Na Mke ni sawa na Mwezi Hakuna kama Mama Ni wake wangapi wanawatelekeza waume zao...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mke mpe upendo, mama mpe heshima

    Hhhhhh
Back
Top Bottom