Viwanja vilivyopimwa kwa mkopo wa miezi 12

Dennis Manyama

New Member
Aug 14, 2019
3
1
MADSON PROPERTY LTD inatoa MIKOPO ya viwanja isiyo na RIBA wala DHAMANA kwa muda wa miezi 12.

Miradi ipo maeneo yafuatayo;
• GOBA KINZUDI - 35,000/=
• GOBA KULANGWA 'B' - 30,000/=
• GOBA KULANGWA - 32,000/=
• GOBA MPAKANI - 28,000/=
• KIBAHA - 11,000/=
• KEREGE - 13,000/=
• BAGAMOYO - 12,000/=
• VIGWAZA - 2,000,000/= kwa ekari moja.

Bei hizi ni kwa kila mita moja ya mraba. Tupigie kwa simu namba 0692-497705.
20190802_165056.jpg
20190802_153003.jpg
20190802_155318.jpg
 
Boss bagamoyo naitaji naomba kujua zaidi kuhusu viwanja ulivyo navyo bagamoyo...
 
Hii maana yake ni kwamba. Eka 1 ambayo ni squere meter mraba 4046.8×11000=44+ mls. Hii bei ni kubwa sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom