Mke mpe upendo, mama mpe heshima

Mke mpe upendo, mama mpe heshima

wote wamuhimu...MAMA alinileta duniani kupitia yeye niliiona DUNIA ...mke atanilea mpaka nakufa..nitakapokua siwezi ataniosha,atanilisha,atanifanyia yote aliyonifanyia mama nikiwa mdogo.

SIONI yeyote kati ya hawa wawili wakumpendelea..wanahitaji same treatment tena in Pro Level...

NOTE:

namuongelea yule mke alietoka kwa MUNGU na si yule mwingine...MAMA ni mmoja.
 
Kumpata mke sahihi nyakat hiz majanga ntampenda mke na kumuheshimu ila sio sana kawaida hata akileta majanga nisiumie
 
wote wamuhimu...MAMA alinileta duniani kupitia yeye niliiona DUNIA ...mke atanilea mpaka nakufa..nitakapokua siwezi ataniosha,atanilisha,atanifanyia yote aliyonifanyia mama nikiwa mdogo.

SIONI yeyote kati ya hawa wawili wakumpendelea..wanahitaji same treatment tena in Pro Level...

NOTE:

namuongelea yule mke alietoka kwa MUNGU na si yule mwingine...MAMA ni mmoja.
Kwa bahati mbaya bado hawawezi kupata same treatment maana ile treatment nyingine ataipata kwa baba yako!! Kwahyo mizani za hawa watu haziwezi kulingana kamwe lazma kuna sehemu utaegamia kidgo tu
 
Kwa bahati mbaya bado hawawezi kupata same treatment maana ile treatment nyingine ataipata kwa baba yako!! Kwahyo mizani za hawa watu haziwezi kulingana kamwe lazma kuna sehemu utaegamia kidgo tu
miss umefikiria mbali wewe duuu🙌
 
Huwezi kutenganisha upendo na heshima
Upendo na Heshima kwa Mama ni Maalum
Kadhalika Mke,anastahili Upendo na Heshima kama Mke

Ila
Upendo wa Mama na Heshima upo Juu zaidi
Mama ni sawa na Jua katika Dunia
Na Mke ni sawa na Mwezi
Hakuna kama Mama

Ni wake wangapi wanawatelekeza waume zao!!!!

Ijapokuwa yupo Mke aliechaguliwa na Mola
Ila huyu pia,atakurudisha katika kumpenda na kumuheshima Mama yako

TAHADHARI
Usichanganye Maziwa na Tuwi la Nazi
Shukran Bro
 
MKE na MAMA ni sawa huwezi mpendelea mmoja hata siku 1..Unaposema ni wanawake wangapi wanaacha waume zao inatakiwa useme pia Ni wamama wangapi hutesa watoto wao wa kuwazaa tena kwa mateso ambayo hata ALSHABAAB wanaweza wasikufanyishe?

Kuna wanawake wabaya kadhalika kuna kina MAMA wabaya pia ...upekee wa mama ni MMOJA TU ambao ni YEYE KUWA NJIA YA MIMI KUJA KUIONA DUNIA hilo tu ndio linaloweza mtenganisha MAMA na MKE ila mengine yote wako SAWA kwahiyo sioni haja ya kuwa treat tofauti au kumpendelea mmoja HAPANA.

Ukianza fikiria kazi za mke wako ktk maisha yako zisizoisha mpk unaingia kaburini KAMWE huwezi jaribu sema MAMA ndio kla kitu...mtoto wa kike ulianza nae mahusiano mkiwa na miaka 27 akaanza majukumu ambayo hayatoisha mpk MNAZEEEKA..acha mke bwana na pia tumuache mama..Hawa ndio watu wa MUHIMU DUNIANI kuliko mwingine yeyote yule.
 
Back
Top Bottom