Recent content by bigbuhama

  1. B

    JamiiForums Tanzania Padre Mapunda: Dk Slaa mwiba unaowatesa wanasiasa wengine

    Mngekuwa hamuendekezi njaa na kuhongwa kirahisi maneno yako ningeyaamini
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nifanyeje niache uzinzi?

    Well said!! umemaliza na umewagusa wengi
  3. B

    JamiiForums Tanzania Umetoka job ukawakuta madogo wapo hivi utawafanya nini?

    Ninapitiliza kwenda chumbani kulala nikiamka hasira zimekwisha
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ijue sababu ya wanaume kupendelea wanawake wa Kisabato

    umepost upuuzi
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimfanye nini huyu Mdada wa kazi?

    Kwahiyo umefurahishwa na hayo matusi Anita aliyoandika ?Mtu aliyekulelea watoto wako wawili umtusi kuwa uchi wake unanuka!!! halafu unaenda kazini unamuachia watoto? nakuapia kilichotokea uganda ni cha mtoto!! Tatizo ni wewe kushindwa kujistiri basi
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Barua Kutoka Jela

    Jamani mi ni mgeni humu ila nimevutiwa sana na riwaya unazotupia mkuu niliona ile ya bondia na ss hii asante sana!!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa escrow umeisha: Yafuatayo ndiyo niliyoyagundua

    wala hawajaapa kuwa wezi!!!!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Vituko jikoni, Let us share and have fun

    Angel umeolewa?
  9. B

    JamiiForums Tanzania PAC: Maoni, Maswali, Mapendekezo na Ushauri wa yatokanayo na report ya PAC

    jionee huruma!!! inaonekana huelewi kitu kabisaaa
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Bondia

    please malizia.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    hujamjibu ila umeonesha kumdharau sidhani km na wewe unamajibu ya hayo maswali
  12. B

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa treni katikati ya Dar-Uwanja wa Ndege Desemba

    cha maaana umeona ni hizo treni!!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kura ya ndio yamtesa Limbu, Renatus Pamba awa mbadala wake Magu

    we ni bure kabisaaa!!
  14. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa agawa Shilingi 200,000/= kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa (CCM) Mkoani Kagera

    jaribu kuona aibu hata kidogo! niko kagera na ninakaa jirani na mzee ngeze na tuko karibu huu ni mwezi ss hajatoka hapa kijijini nimemonyesha huu uzi kasikitika sana kama unayajuwa machafu ya lowasa andika yale ya kweli sio utunge uongo na kuwahusisha watu wengine ambao hawahusiki!!
  15. B

    JamiiForums Tanzania Diallo amlipua Lowassa

    Jionee huruma basi!!!!! Yaani uwezo wako wakufikiri umeishia hapo tu?
Back
Top Bottom