Msaada: Nifanyeje niache uzinzi?

Msaada: Nifanyeje niache uzinzi?

Mkuu naona huruma sana kuwaacha ukizingatia mmoja wao hajui kuwa nina mke cha kushangaza hadi namba zangu kaisha mpa mama yake pamoja na dada yake na wananipigia kila mara sasa nimeishaogopa kumwambia huyo binti nitaanzia wapi sasa nipe mawazo mkuu

Malipo ya dhambi ni umauti, Na njia ya muongo ni fupi. Acha huruma zisizo na msingi. Mwambie ukweli kwamba wewe una mke ndiyo njia ya kuachana. Kafanya hivyo kwa kuwa umemuaminisha kwamba yupo peke yake si ajabu utakuwa umeshamuhaidi utamuoa. Kama unaogopa achana nae kupitia simu.
 
Jambo lolote huanza na dhamira, jitahidi utie Nia ktk moyo wako. Angalia watu wanaokuzunguka (marafiki, wafanyakazi /wafanyabiashara wenzio n.k) Kama ni watu wenye kushabikia hayo mambo waepuke. Sehemu unayoishi yaweza kuwa kichochea, mf unaishi sehemu ambayo unaonekana "Don" au superstar wa eneo hilo. Iga mapenzi ya kihindi, muda mwingi ukiwa "free" jitahidi kuwa na "mamaa" karibu. Usichoke kutafuta mbinu mpya za kulihuisha penzi lenu na kulifanya moto moto kila wakati.

Ngoja nijipe ujasiri mkuu Pia Mungu anisaidie niachane nae kwa kumwambia ukweli kuwa nimeisha oa
 
Buj, tatizo lako sio uzinzi. Tatizo lako ni uwezo mdogo wa kufanya Maamuzi (personal decisions). Utakuja kuona kwamba kuna mambo yanakuandama:
1. Huna malengo maishani mwako ambayo ni dhahiri
2. Una tabia ya kupenda kupendwa
3. Unapenda kujulikana kama wewe ni mtu mwuungwana na hujawahi kutaka kujua maana ya uungwana!
4. Unapenda kuwaambia watu mambo mazuri kwa sababu unaamini ukiwaambia ukweli utawaumiza roho (mwongo)
5. Huu ni udhaifu wa kufanya maamuzi, na hili litakuandama kazini, kwa marafiki, kwa ndugu
6. Huna kitu unachoamini (something that identifies you and the one that you have decided that you are ready to die for!)
7. Unapendwa kuonewa huruma kwenye mambo mengi sana maana unaamini mambo mengi mabaya yanakutokea wakati wewe ni mtu mzuri

Nimeona nikuandikie haya kwa maana ni tabia zinazohusiana na situation yako. Kama hutajifunza kusema HAPANA NA NDIO katika maisha yako utateseka sana. Utaishi maisha ya kinafiki, ambayo huyapendi na mwisho wa siku utajikuta huwezi kuyaacha.
 
Mkuu naona huruma sana kuwaacha ukizingatia mmoja wao hajui kuwa nina mke cha kushangaza hadi namba zangu kaisha mpa mama yake pamoja na dada yake na wananipigia kila mara sasa nimeishaogopa kumwambia huyo binti nitaanzia wapi sasa nipe mawazo mkuu

Yani huyo ukimwambia tu khs wife umsahau
 
Fanya kazi kwa bidii, fanya ibada muda wako wote, kaa na familia yako ukiwa hauko kazini au kwenye ibada. Hakuna haja ya kutumia nguuvu nyingi. Hivyo vyote vitaleta uwajibukaji, kujali mke na watoto, pia hofu ya Mungu na kumcha yeye.
 
We hunishindi mimi kwa uzinzi. Mpaka sasa siikumbiki idadi ya michepuko yangu. Wengine nakuta namba za simu kwenye simu yangu ila siwakumbuki mpaka nikutane nao ndo nawakumbika. Na kushauri tuendeleze kuwachapa tu

Hahahahahaaaaa hapa ndio nashindwa kuelewa sampuli ya watu tulionao jf
 
Mkuu naona huruma sana kuwaacha ukizingatia mmoja wao hajui kuwa nina mke cha kushangaza hadi namba zangu kaisha mpa mama yake pamoja na dada yake na wananipigia kila mara sasa nimeishaogopa kumwambia huyo binti nitaanzia wapi sasa nipe mawazo mkuu

Duh hapo kazi ipo!!! Ndio madhara ya kumuingia mtoto wa watu kwa gia ya kumuoa mpk wazazi na ndg zake wamekuamini.

Ukiamua kuacha kutoka rohoni na kuhudhuria kwny maombi mbona unaiacha na kuwa a New Person kabiiisa!!!
 
We hunishindi mimi kwa uzinzi. Mpaka sasa siikumbiki idadi ya michepuko yangu. Wengine nakuta namba za simu kwenye simu yangu ila siwakumbuki mpaka nikutane nao ndo nawakumbika. Na kushauri tuendeleze kuwachapa tu

kesho shule!!!!
 
Muche mungu wako na ogopa adhabu ya mola siku ya malipo na mkumbuke mola wako daima na muombe kwa dhati akuepushe na huu uchafu usiokua na faida kisha mfikirie mkeo alivyotulia na wewe kisha jiulize je wake zetu wakitufanyia hivi tutaridhika??? Ikiwa laa kwa nini sisi tuwaendee kinnyume?
 
Buj, tatizo lako sio uzinzi. Tatizo lako ni uwezo mdogo wa kufanya Maamuzi (personal decisions). Utakuja kuona kwamba kuna mambo yanakuandama:
1. Huna malengo maishani mwako ambayo ni dhahiri
2. Una tabia ya kupenda kupendwa
3. Unapenda kujulikana kama wewe ni mtu mwuungwana na hujawahi kutaka kujua maana ya uungwana!
4. Unapenda kuwaambia watu mambo mazuri kwa sababu unaamini ukiwaambia ukweli utawaumiza roho (mwongo)
5. Huu ni udhaifu wa kufanya maamuzi, na hili litakuandama kazini, kwa marafiki, kwa ndugu
6. Huna kitu unachoamini (something that identifies you and the one that you have decided that you are ready to die for!)
7. Unapendwa kuonewa huruma kwenye mambo mengi sana maana unaamini mambo mengi mabaya yanakutokea wakati wewe ni mtu mzuri

Nimeona nikuandikie haya kwa maana ni tabia zinazohusiana na situation yako. Kama hutajifunza kusema HAPANA NA NDIO katika maisha yako utateseka sana. Utaishi maisha ya kinafiki, ambayo huyapendi na mwisho wa siku utajikuta huwezi kuyaacha.

well said,
apate sababu ya kubadilika. Je unadhani kuna haja ya wewe kubadilika?
kwa nini uteseke wakati huduma ipo?
ukipata sababu, utaweza tu kusema NOOO. otherwise ....
 
Mkuu naona huruma sana kuwaacha ukizingatia mmoja wao hajui kuwa nina mke cha kushangaza hadi namba zangu kaisha mpa mama yake pamoja na dada yake na wananipigia kila mara sasa nimeishaogopa kumwambia huyo binti nitaanzia wapi sasa nipe mawazo mkuu

Huyu siku akijua una mke na dawa ya kuacha uzinzi atakupatia, wazazi wanasubiri ukatoe posa we kumbe unajifurahisha tu.

Japo umechelewa nakushauri malizana na huyu kwanza mana unaweza peleka kilio nyumbani kwako.
 
Mwambie mkeo hiyo tabia yako na muhakikiahie unataka kuaicha aongee na hao wanawake zako
 
Buj, tatizo lako sio uzinzi. Tatizo lako ni uwezo mdogo wa kufanya Maamuzi (personal decisions). Utakuja kuona kwamba kuna mambo yanakuandama:
1. Huna malengo maishani mwako ambayo ni dhahiri
2. Una tabia ya kupenda kupendwa
3. Unapenda kujulikana kama wewe ni mtu mwuungwana na hujawahi kutaka kujua maana ya uungwana!
4. Unapenda kuwaambia watu mambo mazuri kwa sababu unaamini ukiwaambia ukweli utawaumiza roho (mwongo)
5. Huu ni udhaifu wa kufanya maamuzi, na hili litakuandama kazini, kwa marafiki, kwa ndugu
6. Huna kitu unachoamini (something that identifies you and the one that you have decided that you are ready to die for!)
7. Unapendwa kuonewa huruma kwenye mambo mengi sana maana unaamini mambo mengi mabaya yanakutokea wakati wewe ni mtu mzuri

Nimeona nikuandikie haya kwa maana ni tabia zinazohusiana na situation yako. Kama hutajifunza kusema HAPANA NA NDIO katika maisha yako utateseka sana. Utaishi maisha ya kinafiki, ambayo huyapendi na mwisho wa siku utajikuta huwezi kuyaacha.

Well said!! umemaliza na umewagusa wengi
 
Mbona sioni shida hapo!!! Umepewa ili utumie
 
Utakufa uache familia yako inateseka ndugu yangu mtangulize Mungu uachane na michepuko
 
hivi ulilazimishwa kuoa sasa unamuua mkeo kwa ngoma pia utatuongeza idadi ya watoto yatima. Niliwahi kuwa striker mzuri sana wa uzinzi nilikuwa napenda' kusema wasichana wote ni wangu" .Nilipoamua mara ya kwanza kupima HIV nilikimbia majibu, nilikaa mwezi mzima natafakari siku nilipopata ujasiri nikarudi tena nilivyopata majibu safi nilijiona nimenusurika nikaamua kubadili staili ya maisha japo ilikiwa ngumu sana.
 
Back
Top Bottom