mzee Chibai
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 980
- 243
Mkuu utakua ushamtafuna hapa umekuja kuangalia kama ulichofanya ni sahihi au la.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ndugu Mtoa Mada Ama Kweli Unapaswa Kuishi Na H/girl Ka Mwanao, Sasa Kama Inafika Hatua Anaingia Chumbani Kwenu Hiyo Ni Hatari Hata Ww Umeshindwa Malezi, Ushauri Wangu Huctahili Kuwa Na Binti Wa Kazi, Mrudishe Kwao Na Kazi Zote Afanye Mkeo. Hii Itakusaidia Ktk Ndoa Yako.
du! bint wa kaz anaingia chumban kwako?????? mi najua chumba ni privacy ya mtu mi hata ndugu zang ctak waingie coz ni chumba chng natakiwa kuwa huru nacho. mwambie mkeo amwambie huyo mdada marufuku kuingia chumban af ukimkuta amekaa uchi mtolee maneno ya kashfa mf. paja lenyewe gumu hilo unamuonesha nani? hata km paja lake zur utmvunja moyo. ukiona amezid mtwange makof af unamwambia marufuku kunikali uchi wenyewe unanuka.
Yani we anita kidogo umenifurahisha, ushauri wako nitaufanyia kazi, thank you
Hapana sijalifanya ilo na kwa ushauri wa wadau umu nimeona niachane nae tu
basi ikabidi tu umwachie musichana azipimie sentimita zako selasini hahaaa ameona inafitHapana ilikuwa ghafla sana na hata mie nilishikwa na bumbuazi manake sikutegemea kama nitamkuta kule ndani, hata kulishusha taulo chini pia muda ulikuwa hautoshi, nikaamua kukaa kimya tu
Mkuu litakuwa kosa kubwa sana kama utatembea na mfanyakazi wako wa ndani.. Mwanaume anaejiheshimu hawezi kujishusha hivyo.. Kama unataka kuchepuka nenda mbali huko ukachepukie.. Ili hata kama mke wako akisikia inakuwa haina nguvu kivilee.. Lakini kutembea na mfanyakazi wa ndani ni kumkosea heshima mke wako.. Mheshimu sana mke wako maana ndo ubavu wako huo..
Tena unatakiwa kuhakikisha huyo mfanyakazi ameondoka hapo nyumbani mara moja..
si nyie mnatumia vile vitu kama matusi