Recent content by big-neyo

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu kijana wa jirani nimfanyeje? Kila msichana wa kazi wangu anampa mimba

    No usimbambike kesi ya bunduki...je angemla wife wako si ungempa mada?
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini sitaki kujua kipato cha mke wangu?

    Na ukiona mke anaficha kipato.ujue wazazi/ndugu wanashida na wanataka wasaidiwe kila Mara.ila ni lazima ujue kipato chake.naye ajue chako
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama hii ikiwezekana, sioi mapema

    Inawezekana.ila akiwa house boy ni vizuri zaidi
  4. B

    JamiiForums Tanzania Unataka Upate Pesa? Tumia njia hii hapa

    No easy money.
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeishi naye ndani ya ndoa miaka mitano, Jogoo langu halipandi mtungi, mke anataka kunitosa

    Tafuta ata Viagra mkuu.lazima inyanyuke tu
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeishi naye ndani ya ndoa miaka mitano, Jogoo langu halipandi mtungi, mke anataka kunitosa

    Sure jaribu kutest nje.tafuta kabinti kazuri kanakovutia hata kama ni Malaya then uchek.kama unajifanya mlokole imekula kwako.wife wako atachezea sana.maana inaonekana anapenda ako Ka mchezo ndo maana akuvumilii
  7. B

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    Mdogo wangu.kodi shkamoo baba umechoka?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Lameck Airo anahujumu Halmashauri ya Rorya, achunguzwe

    Jambo la msingi pigs chino chama chake this time.na ukabila muache mbwa nyie
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimthamini sana, kumbe ananiona mjinga, akaamua kunidhalilisha

    Forgive and forget
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawapenda sana malaya

    Dogo tatizo lako hujui kutongoza
  11. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anatumia kiwanja changu kuweza kufika kwake

    Lazima muongee.muuzie iyo sehemu kama hana njia ya kupita.maana viwanja vyenu wote havijapimwa.bisha.
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sasa inabidi wanawake watuhonge wanaume

    Haukumridhisha.ungepiga hata moja tu refu.ye angalau apizi Mara mbili we moja.in short amekuona fwala jombaa
  13. B

    JamiiForums Tanzania Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kuhudumia makontena Tanzania (TICTS)ni mzungu?

    No kweli unachosema.wabongo wapo wengi tu wanaweza ila most of them ni wezi.so ni ngumu.kumpa kwa sababu anaweza kuamishia ukoo wote hapo
  14. B

    JamiiForums Tanzania Serikali kuagiza Toyota GX V8 zipatazo 171

    Mimi naenda sana nje ya nchi.ila mocambique walonifurahisha sana gari za serikali ni mahindra
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Ugonjwa wa mama mkwe unanihusu kweli?

    Kwanza iyo issue ingekuwa kwenye makabira yetu ya bara.ingekua bora mama afe kuliko kuhudimiwa na shemeji wakati vikana wapo.
Back
Top Bottom