Post za kidato cha tano 2015/2016

Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
hawa wanaohusika na utoaji wa post sijui wamejificha kwenye migodi ya wapi maskin.....! wanatuboa aseee
 
Nisaidien wakuu Nimepata c nne ambazo niza masomo ya Phs,bios,chem,maths ,je naweza kwenda form five ya government ijapokuwa na GPA ya 1.3
 
Nisaidien wakuu Nimepata c nne ambazo niza masomo ya Phs,bios,chem,maths ,je naweza kwenda form five ya government ijapokuwa na GPA ya 1.3
 
Design kama wanafunz tumesahaulika kpnd hk,
ngj tuvute subra mana kulalamika humu sio kutatua tatzo,
tuwe na subra wakuu.
 
Hv Ujinga Wa Post Kuchelewa Ushawahi Kutokea Au Ni Misifa Ya Tamisemi Kuchukua Majukumu Isiyoyamudu
 
post kidato cha tano2015/16 [email:www.jamiiforum.com>Forum> Educational, Tech&Prof> Jukwaa la Elimu (Education Forum)]bofya hapa[/email]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom