Sililiza bwana mdogo Mtela. Kwa sasa uko CCM fanya kazi ya CCM. Acha Chadema waendelee na utaratibu wao, weye haukuhusu. Siye kwetu MTELA ina maana ya MWIKO wa kusogea ugali. Hali iliyopo na ambayo weye huijui ni kwamba kwa sasa CCM imeshakugeuza weye kuwa MWIKO(MTELA) wa kufanyia mambo yake...
Kila mmoja angeona pointi kwa Nape kama angetuhakikishia kwamba CDM iliwatelekeza na CCM ndio wakawahudumia. Lakini mtu mzima na akili zake anasema naipongeza Serikali, hivi huyu anajua nini kazi ya serikali?. Hili ndio tatizo la viongozi wa kuteuliwa, daiama ni kumpendezesha bwana mkubwa. hapo...
Ni kweli hata mimi nimemuona jana akiituhumu chadema kwa kupanga mauaji. Hivi kwa nini mkanda huo asipeleke polisi ili wachuke hatua. Huyu anatuhuma zifuatazo:
1. Alikuwa mtumishi BOT wakati wizi wa EPA unafanyika hivyo lazima atafute kila namna ya kuinyamzisha CDM
2. Huyu ni FUSKA wa kutupwa...
Who is Habibu Mchange, huyu ana ajenda za udini na ubinafsi tu. Zito bila Chadema si lolote wala chochote, kama wanabisha aondoke waone kama CDM itayumba. Mbona Mzee Nyimbo amesepa na kujimaliza mwenyewe.
Kilichofanyika ni kuongeza idadi ya vyama na si kupata chama bora. Kama miongoni mwa vyama vilivyopo hawakuona cha kuwafaa unategemea wao wanakuja na jipya gani.
Huu nao ni ujinga usio na kikomo. Mwanzilishi wa hoja hii jiulize sasa tuko kwenye mfumo gani wa maisha. Je hiyo CCM yako inatutawala kwa mfumo upi? Kila mmoja sasa anahangaika na maisha yake na watoto wake je huo ni ujamaa?. Suala sio mfumo bali ni jinsi gani mfumo husika unavyotenda haki kwa...
Hii ni kuwafahamaisha wadau wa JF kwamba leo hii imeanza kampeni ya kuwafanyia tohara wanaume. Nimembiwa hii ni kwa wanaume wote wenye miaka kati ya 10 na 67. Wenye tisheti zao zimeandikwa MENYA GANDA. Hapa nipo kwenye hospitali teule ya wilaya Mbeya vijijini, eneo la Ifisi karibu na mji mdogo...
Ah! weye unashangaza sana. Yaani kuna mijibaba bado inasubiri kufuliwa chupi na wake zao. Huo ni uzembe kweli, chupi ya kwako bado unataka nkeo akufulie. Huko ni kujidekeza kulikopita kiasi. Kama ni hayo basi tumwagie na sala ya wananume kuwafulua sidiria wake zao, ili nao wakuatane na matone ya...
Hiyo ni Mbeya ya wapi, kama si vijijini ambako waliofika wameenda kushangaa sura tu ya babu huyo. Mimi niko Mbeya, wala hakuna hata vuguvugu kwamba kiongozi mkubwa wa HADHI YAKE kuwapo hapa jijini. Hakuna lolote ni wo wo wo tu.
Wakati wa hotuba yake mwishoni mwa mwezi wa pili Rais alieleza mtizamo wake juu ya kupanda vitu bei. Nasema ulikuwa ni mtizamo wake kwa sababu aliyosema hadi sasa hayajatekelezwa. Hebu tuangalie aliyosema kuhusu bei ya sukari. Rais alionesha kutoridhishwa na bei ya sukari kwani iko juu mno. Kwa...
Ulitarajia sangoma aongelee nini zaidi ya maruhani na majini ya masangoma wenzake.
Hiyo ndo faida ya kupeleka waganga jadi bungeni. Na hiyo ni maendeleeeeeeeeeeo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.