Mwigulu na tuhuma dhidi ya CHADEMA

Mwigulu na tuhuma dhidi ya CHADEMA

naumia sana napoona kiongozi kama huyo anapoleta porojo zake kwa kizazi hiki cha sasa,kila kitu kiko chini yao,why wactoe hyo video au wawakamate hao viongozi wanaopanga mauaji(yawezekana hao viongozi ni wale masalia au pm7 walitaka cheza chezo la video) maisha bila ccm inawezekana

kijana usiumie, kwani katika hilo jambo la ushahidi wa video unaotangazwa kama uuzaji wa cocacola in the media, una huzunisha sana. Either this mwigula character is a fool, or he really has it and he is getting some political mileage out of it; the following are issues that really makes me wonder in the state of our existence and how the local authority protects its citizens in tz:

  1. if mwigula has been barking about this video evidence, why he doesn't take it present it to the authority so they can take action?
  2. why the authority does'nt call on mwigulu to hand over and take a statement from him, and they should bring all involved to questioning and investigation.
  3. why the lawyers associations of tz are not talking about this issue and force the govt to take action.
  4. why the hell is chadema soo quite on this, they should take mwigula to task.
  5. where are the lawyers of cdm

overall it is either cdm is aware of the existence of the video and are fearing to tackle mwigula, and or ccm is aslo aware that what is with mwigula is fake and concocted video to just tarnish cdm. All here are playing very cheap politics , na la muhimu ni kuwa jee ingekuwa dr slaa ndiye ambaye kasema ana video kama hiyo, what would have happened, si tungeona vituo vyote vya habari pamoja na magaziti, yaki msema na kutaka damu yake.
 
CHADEMA wameniudhi sana kwa kutokumchulia hatua za kisheria huyu Mwigulu
 
EATV nayo imeshakuwa kituo cha kitoto.inakubalije mtu ambaye hana hoja yoyote ya kutatua kero za wananchi kazi chadema tuu kupoteza muda bure.mengi nae anazeeka vibaya.mbona hawamualiki deo filikunjombe ambaye anazungumzia kero sio maujinga ya huyo mpumbavu anayeza ngono muda wote kama aliye mteuwa.
 
CDM nawasihi msimjibu kitu huyu kiumbe ... anatafuta mabishano na propaganda zipate media attention na ndiyo maana anasisitiza kwanini CDM hawamjibu..

Mwigulu Nchemba.... CDM is very smart ... subiri jibu kutoka kwa wanandoa CUf
 
Hakuna siku ambayo Mwigulu atasimama bila kuiongelea CDM ni sign nzuri....... CDM inampeleka puta!!!!
viva CHADEMA!!!!!!
 
kwa maneno aliyoyasema mchemba,lazima mshahara wake utaungezwa,na kinana akizidi kukaa kimya bila kutoa matuzi kwa viongozi wa chadema atamwaga unga
 
Chadema wameniudhi sana kwa kutokumchulia haua za kisheria huyu zuzu mwigulu

Ndugu yangu badala ya kuudhika,Furahi.Hakuna lolote hapo.Kuna sababu TATU za kufurahi.Moja;Polisi ambao wapo chini ya Serikali ya CCM wamempuuza,hawaoni chochote hapo cha kuwashughulisha.Mbili;Anatuma ujumbe kwa wananchi kwamba Serikali yake ya CCM ni dhaifu na haiwezi kuwakamta wahalifu hivyo haina sababu ya kuendelea kuongoza Nchi.Tatu;Anajisahau kuhamasisha Maendeleo na kuitangaza CHADEMA,Mwisho wa siku watu watahitaji kujua ahadi walizoahidi zimetekelezwa kwa kiasi gani.Kwa hali hiyo mimi naona anaipandisha chati CHADEMA na kuzidi kuidhoofisha CCM.
 
Tatizo watu mnakuwa wasahaulifu sana, naomba kukumbusha jinsi huyu zuzu alivyo muongo

Kwenye bunge la bajeti lililokwisha alinukuliwa akisema kuwa ametumiwa sm za kumuua na Mnyika na Lissu , mpaka leo porojo hizo hajasema ziliishi wapi baada ya CDM kuja na hoja ya sms spoofing , leo ameibuka na mradi mpya , anadanganywa na Zok na wenzake kuhusu mbinu hizi dhaifu za mwaka 21.

Pili huyu jamaa amemdanganya sana Juliana Shonza na kundi la akina Mchange na Mwampamb, leo wamefukuzwa hana jinsi ya kuwatetea , sasa anatafuta attention ili aonekane yupo, aliwahi kuwapeleka vijana hawa kwa waziri mkuu nyumbani kwake dodoma, sasaanatafuta jinsi ya kuweza kumridhisha huyo boss wake.

Tatu, huyu jamaa ndio alipewa taarifa za kuwepo kwa kadi ya Dr. Slaa na mbunge mmoja wa viti maalum, baada ya Nnape kusema waliposhindwa kuipata wameamua kuipotezea il aibu hiyo iwatoke, sasa mnamjadili wa kazi gani huyu jamaa?

Huyu jamaa , akishirikiana na Shigela, ndio walikua wanamdanganya Eddo Makata, sasa imekula kwao wanatafuta pa kutokea.

Huyu jamaa alipanga mipango ya mauaji kijijini Ndago, na wale vijana mpaka leo hajawapatia pikipiki kama alivyowaahidi kwenye Saccos yao , sasa anatafuta pa kutokea. Aliwachukua vijana hawa kutoka maeneo manne tofauti moawapo ni wale wa Tandale dsm, sasa asikilizwe kwa lipi!!!!!

Amwambia kuwa mkewe ambaye ni kutoka machame, aliyekuwa mkuu wa sensa dodoma na kuwarusha waalimu , atawekwa upenuni soon ili kuionyesha familia hii ikoje kwa watz.

Naingia kazini , so ntarejea jioni baada ya kazi kama atakuwa amejibu chochote hapa.......
 
Uongo ni asili yake,jina analotumia si lake,mtu anaeiba hata jina ni kuogopwa,leta huo mkanda kaka tuuone. Watanzania wa leo si kama wa jana. Kwa kumtazama tu Mwigulu anaonekana ana mtindio wa ubongo,tumsamehe bure anahitaji maombi.

Well said , kwa sisi madaktari kuna aina ya muundo wa kichwa tukiona tu tunahusisha na Mtindio wa ubongo , njoo Muhimbili utajionea mwenyewe jinsi mataahira wanavyofanana vichwa vyao , Achilia mbali wale wanaokuwa machizi kwa sababu ya Drugs ( mateja ) .
 
Hili jinga la kwanza limekosa hoja. Mbona hajadili mitandao mia ndani ya Magamba? Kweli nimeamini kuwa huyu Lameck Madelu alighushi vyeti na hana usomi wowote zaidi ya uvuvuzela. Hivi ile kashfa yake ya ugoni Igunga imeishia wapi huyu gamba uchwara?

Inamuandama hadi leo , taarifa zaidi zinasema kila akilala anaota fumanizi !
 
hata sifa za kuwa polisi jamii hana said:
teh, sera zao zimeshindwa wamehamia kwenye majungu tu, hasa huyu jamaa akapimwe uwezo wake wa kufikiri, kama anaona cdm wauaji si aende polisi kwenye media nafuta nini kila siku, wakati tulishamsikia, ndio maana hawa maccm hawawezi kutulete maendeleo kwa kuwa hawajui kwamba kila jambo lina namna yake ya kulishughulikia
 
siasa hizi yaani jamaa alishasahau hata kuongea "point" kila alipo anaiwaza CDM, nahisi hata akiwa kanisani anaiwaza 2, kweli CDM ni sooo
 
Chadema wameniudhi sana kwa kutokumchulia haua za kisheria huyu zuzu mwigulu

Mimi pia wameniudhi CHADEMA inawanasheria waliobobea kwanini inanyamazia haya?Je wananchi wakiamini kàma walivyoaminishwa na MAHITA kuwa CUF iliingiza visu kabla ya uchaguzi?Hapana ktk hili nasema hapana kesi za ubunge mbona wanafungua?Ben Sanane kasema yy atafungua mashtaka nilfurah sana.LISSU,MARANDO NAWENGINEO KOMESHENI UPUUZI HUU TAKE THEM TO COURT
 
Ni kweli hata mimi nimemuona jana akiituhumu chadema kwa kupanga mauaji. Hivi kwa nini mkanda huo asipeleke polisi ili wachuke hatua. Huyu anatuhuma zifuatazo:
1. Alikuwa mtumishi BOT wakati wizi wa EPA unafanyika hivyo lazima atafute kila namna ya kuinyamzisha CDM
2. Huyu ni FUSKA wa kutupwa. Wakati wenzake wakiwa bize na kampeni kule Igunga yeye alikuwa akijivinjari kwa ngono na alifumaniwa.
3. Alipewa kazi za mweka hazina wa CCM akashindwa. Fikiria mtu ambaye amefanya kazi BOT anashindwa kazi ambayo si ya kiutendaji.
Amelewa madaraka aliyonayo kama binamu yake NAPE.
 
Mwigulu nchemba ambaye anatumia jina la kununua anaiogopa cdm,akisikia tu cdm network inapotea!!!!!!!!!!!!!
 
Namshauri tu kijana mwigulu aelezee mikakati ya kuendelecha CCM, tumemchoka na propaganda kwa CDM kila siku, yaani mpaka ina boa sasa, maana akiongelea mambo ya siasa lazima aikandie CDM, nakushauri ubadilishse stairi yako ili uweze kuvutia watu
 
Wananchi wanakiamini sana chama cha CDM,lakini propaganda ambayo inafanywa na naibu katibu mkuu wa CCM Mwigulu Mchemba ikiachiwa hivi hivi ikapita kama upepo mwisho wa siku italeta mtafaruku kwa chama hiki.Ni mara ya tatu sasa namsikia akihusisha CHADEMA na mauaji ya raia wasio na hatia ilihali chama kimekaa kimya.

Mbaya zaidi kada huyu wa CCM ana thubutu kusema mbona toka azungumze hakuna aliyethubutu kukanusha kwa kuwa tu wana hofu ni mkanda upi ambao anao, ulioratibu mauaji hayo,alifika mbali zaidi kwa kusema kuwa hata yule kijana aliyetekwa na kutaka kuuwawa huko Igunga kipindi cha uchaguzi mdogo wa jimbo hilo ulikuwa ni mpango wa CHADEMA.

Kauli hii ikiachwa ikapita hivi hivi inaweza kuwa mbegu mbaya kwa mustakabali wa chama na wananchi waliojenga imani kuwa ndicho chama mkombozi wa uhuru wa kweli wa Mtanzania.Watanzania kamwe hawawezi kuvumilia propaganda hii ikiachiwa bila kukanushwa wakaendelea kukiamini chama hiki.

CHADEMA kuna kurugenzi ya sheria iliyo chini ya Tundu Lissu mbona imekaa kimya,kwakuwa ushahidi ana dai anao,tunaomba wa frame kesi na kuifikisha katika vyombo vya dola ili ushahidi huo ukithibitika haki ichukue mkondo wake.Hatuwezi kuendelea kusikiliza tuhuma ambazo mwisho wa siku unaweza kuwagawa wananchi.

Uko wapi mh.Mnyika mbona kwa hili umenyamaza kimya au halina athari kwa mustakabali wa siasa za CHADEMA?Tafakari

Acheni kulalamika sasa sie tuwasaidiaje? Nendeni mahakamani tukajue mbivu na mbichi.......kwa hakika viongozi wako wanajua ukweli na sio wewe ndio maana wamefyata mikia
 
kitu ambacho ccm wamekosea ni kuweka vijana kama Mwigulu Lameck kwenye nafasi za juu za chama,hawajuwi kujenga hoja kabisa,hawa ndio wanaoharibu chama
 
Back
Top Bottom