Sala Ya Kuiombea Chupi ya Mume Wako Baada ya Kuifua Kwa Kina Dada au Kina Mama Walioolewa Tu!

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Naiombea chupi ya mume wangu, naitakasa kwa damu yako anapotoka nyumbani katika nyumba hii, ivaliwe hapa na ivuliwe hapahapa tu, kama ataivua sehemu nyingine tofauti na nyumbani baba basi iwe ni kwaajili ya kunya au kukojoa tu na aikabidhi ikiwa safi kama nilivyoifua mwenyewe! Amen.
 
Ah! weye unashangaza sana. Yaani kuna mijibaba bado inasubiri kufuliwa chupi na wake zao. Huo ni uzembe kweli, chupi ya kwako bado unataka nkeo akufulie. Huko ni kujidekeza kulikopita kiasi. Kama ni hayo basi tumwagie na sala ya wananume kuwafulua sidiria wake zao, ili nao wakuatane na matone ya maziwa ya watoto, majasho ya kwapani nk. Halafu eti, hiyo chupi irudi ikiwa safi kama ilivyofuliwa, sasa huyo mvaaji atakuwa amevaa au ameweka kwenye begi.
 
Kweli we ni Ndallo!!!
avatar yako imekaa kihandsome hadi chupi unafuliwa
safi sanaaaa!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom