Recent content by big brother

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    subiri mpaka serekali mpaka watangaze
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nakumatt Moshi branch imekithiri kwa ngono kwa sasa ni sex shop

    Basi itakuwa kuna watoto wakali ile mbaya hapo,jipange tu mzee nawe umiliki ila utaweza kuzuia watoto wazuri kama hao watu wawaachie hivi hivi labda wewe.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuibiwa simu iphone 5?

    Simu kama hizo ndo kiboko yao,hakuna mtu kuiba wala kuokota simu .
  4. B

    JamiiForums Tanzania kama nchi yetu niya amani kwanini Rais anawalinzi wawili?

    Raisi anaogopa kufa kimwili kama sio kutangulia.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Namna ya kutambua tabia ya mtu

    Tabia ya mtu nikama ngozi ya mwili uwezi kuibadili
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nini faida ya ushirikina na uchawi?

    Auna faida,maana au tendagi haki
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Must see Movies

    Movie kali za story ;the pusuit of happyness;the luck one ;the beautifuf mind :the walk to remember ;ladder 49;
  8. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume

    unamaanisha kwamba huko ulipo watu awavutiwi na wewe(watu awajakuona) au unachagua sana sasa umeona umebaki peke yako ehee...ulizani wanaume kama nyanya ukifika muda utaenda kununua.
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ipo mashakani

    jaribu kumlisha asali maana wanasema asali inaleta hamu ya tatizo lako....otherwise hakupendi kilasiku vilevile tu..
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji laptop, nina sh. laki nne

    nanikakwambia laptop inauzwa laki nne...kama inauzwa laki nne nenda kanunue dukani...au unatakazile za wizi(za dili)?
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania sex before marrige

    marriage before sex ilikuwa zamani sana enzi hizo unachaguliwa mke wa kuowa,sasa hivi ni sex before marriage uhuru wa kuchagua...
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hainaga digirii

    so i'ts matter of choice.....so no problem
Back
Top Bottom